cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,307
Uduguuu wee ni 🔥🔥🔥🔥😹😹😹 wee vaa uone moto wake..!!
Nyingine hiyo
Uduguuu wee ni 🔥🔥🔥🔥😹😹😹 wee vaa uone moto wake..!!
Nyingine hiyo
Hakunaaa 😹😹ItKuwa tu ni muda picha ilipigwa bana 🤣🤣acha kukuza mambo
😁😁wewe hunitendei haki kabisaHatuwezi kukuzoea hivyo, binti mdogo unavaa la kuchumpa 😹😹
😂😂😂😹😹😹 hapo tutatoana roho
Ni kweli si tumechukua cheti cha majukumu mapema ,wengine waoga .Ikishindikana kabisa pata hata mtoto ,ndio alama zetu muhimu tutakazoacha duniani.Asante.Hongera sana mkuu 😍 kulala kama panga ni basi tu tunajikaza
Sometimes issue ni deep 😢
Umejua nini boss 😁
Mi nitoe kwenye wingi 😹Hongera sana mkuu 😍 kulala kama panga ni basi tu tunajikaza
Sometimes issue ni deep 😢
Mengine unyamaze 🤣🤣sasaHakunaaa 😹😹
Ngoja niwah ziwaniUmejua nini boss 😁
Uduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.Kanichanganya, kule alikua mweupe hansamu, kwenye ndoa black kachokaaa..!!
Hiyo ndoa mbona imeanza kumpanda kichwani mapema? 😹
Ushindwe wewe 😹Uduguuu wee ni 🔥🔥🔥🔥
Wenye wachumba humu wanajibana🤣🤣🤣🤣🤣khehMi nitoe kwenye wingi 😹
Yani naenjoy hapa nimejiachia sibanwi
AlamsikiiiiiiNgoja niwah ziwani
Hata kuwa mzee kwenye ndoa mzee 😹😹Uduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣ila nyieUduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.
😂😂😂😂😂
Wewe coca nilipita mchana bana afu unazubaaa😂😂😂Malle umefuta chaapu, ila nawe unachanganyaa wallah.
😂😂😂😂 au basi.
Ndio 😹Wenye wachumba humu wanajibana🤣🤣🤣🤣🤣kheh
😂😂😂😂Hatuwezi kukuzoea hivyo, binti mdogo unavaa la kuchumpa 😹😹