Lonya tu hio suti haina issue
Poa mkuu!
Lonya tu hio suti haina issue
😹😹😹 kijana kabarikiwaMbinguni utaona view once 😹😹😹😹😹
😹😹😹 Atanitoa rohoNa Ulinzi uko wa kushatoo!! 😂😂😂
Ushindwee wee tu. Lol.
Kanionea bure kunishushuaKakushushua 😹😹😹
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Mje mniungishe waist chain 😹Pita basi nikuone mahi uduguu. 😂😂😂
Siwezi kuvumilia 😹Mie nikavunga, wee umeamua ulipue tu.
😂😂😂😂
Hajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!Anakuingiza chaka
Anakujazaaa ujione umepatia
Kwani picha ya mtu kavaa suti km dark blue, kasimama ofisini ni wewe au chi?Check tena
😹😹😹😂😂😂😂 unanichekesha mnoo, khaaah
😂😂😂😂Mi nitakua host, wewe mchokoza mada..!! 😹
Si ndiooo, 😂😂😂😂Kakushushua 😹😹😹
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Ile mi lip gloss itakubabua lips 😹😹🤣🤣🤣🤣🤣Acha zako lamomy
Wee em sema kwelii? 😂😂😂Kutuna ni kawaida, mama zetu wakiona pametuna hawatuambii ila wanafurahi vijana wao tuna mizigo. 😊
Uking'ang'ania jambo🙌🏼🙌🏼Hajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!
Uoga wako tu, 😂😂😂😂😹😹😹 Atanitoa roho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niletee wwIle mi lip gloss itakubabua lips 😹😹
Mwambie akome kukuletea..!!
We muache amuendekeze kama hajambabua lips na hizo lip gloss za salaula 😹😹😂😂😂😂 ila Malle anapendaga kututafutia waja maneno, na mwenyewe kaweka kwa raha zake hana wasi wasi wala haogopii
Woiiiih.
Lamomy fanya vitu tupate mualikoPamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140
😍😍😍😍😍😍Pamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140