Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
😂😂😂😂
😅😅 umechukua mpaka ya u dalali
Kheri mie najitolea tu 😅😅

Ikishindikana sitaki lawama mie
 
Back
Top Bottom