Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si kipindi kile mnapelekeana moto na mnywani haha!!

Nikasema nini kimetokea hapa mtume! Nikijaribu kuku calm down ndio kabisa ukawa unapiga missiles kama zile za Iran ambazo zikikaribia target zinagawanyika vipande vingi unashindwa hata namna uzuie lipi.

Nilikua mpaka nafunga just imagine ili walau mue hata na MOU
Yameisha chino tusirudi huko kwenye zama za giza tena 😘
 
Nilijitahidi kua kuwadi msela kaingia mitini udugu wako nae kamdomo😆😆
😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom