Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,802
Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹Ndio atabana miguu
Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹Ndio atabana miguu
Japo sijauona nikiuona nitadataJamaa kaelewa mzigo. 😊
Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya paka
Hayo ndo maneno sasa umeona Malle 😹😹Kwa hiyo huna hata account
😂😂😂😂 uduguu wee ni chizii ujue?Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹
Hii niachieniKwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹
😂😂😂😂 ila wewe, khaaahVijora unaenda kumsuta nani?
Nenda pm huko ukampe account ya bank akutumie hela ya skin care..!! Wee vipi km hujazaliwa bongo dar es Salam 😹😹
Nataka hela upendo tutatumia wake😹😹
Mchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!Naongoza jumuia asubuhi, mbaki salama
KashasepaUtauona tuu, ataposti hapa Mallerina.
😂😂😂😂Mchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!
😹😹😹😹 ZCO unaye soon anakukamata umpe Lamomy wake..!!😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
😂😂😂😂
Kwa nani papa pedeshee 🤗
Me simtaki 😹😹huyo anatosha kuwa baba yang kabisaSasa nakutetea vipi, wakati unapendwaa. Ni suala la wewe kuamua unapenda au hupendi. Jitendee haki, kama unampenda mshikaji, mwambie.
Nimeelewa nilikua nakuzingua kaka mzuri 😉Nikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Dunia😀
Atasoma litrugia nisome nenoMchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!
Kitakulamba siku 😅Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.
😂😂😂😂