cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,142
- 201,025
Upoo?? Nikupe kitu naked, ili roho yako isuuzike.Utatisha sana kaka...
😂😂😂
Upoo?? Nikupe kitu naked, ili roho yako isuuzike.Utatisha sana kaka...
Wewe muache huyu nammudu udugu, anakusumbuaje nawee.Unawashwa washwa ugomvi 😹
😂😂😂😂😹😹😹 Muwekee
Mia anakupenda ila kukwambia anashindwa..!!
😹😹😹 Kapita hapa wenyewe tumekubali aiseee..!!Umemuonaaa shem lakoo?? Mie sijawahi kufeli kwenye kuangukia kwa mtu.
Yaan ni 🔥🔥🔥
Brooh rudi hapa, nataka niweke selfiw special kwa ajiri yako.Muda wa kubeti huu..
Siku njema..
Kijana nimemtazama kwa jicho la rohoni ni mtu safii kama therujiKwenye ukuwadi uko vizuri..!! 😹
Nimekujaa uduguui, 😂😂😂Mtoe bana aje
Ariririiiiiiiiiiiii!!! Bebee tusiachanee, Tudumu milele, na mali zako uandike jina languNgoja tumalizie honeymoon. Atarudi.
Brooh rudi hapa, nataka niweke selfiw special kwa ajiri yako.
😂😂😂
Yaan shem lako ni 🔥🔥🔥😹😹😹 Kapita hapa wenyewe tumekubali aiseee..!!
Em niitie huyo broooh, Leo nataka kumpa kile moyo wake unatakaaa.Watu wewee... hureeee hureee....
Weka mambo coca.
Em niitie huyo broooh, Leo nataka kumpa kile moyo wake unatakaaa.
Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sana😢😢Huu unaenda mwaka wa 7.
Kijana wa watu bado na uvumilivu wa hali ya juu.
Alinipitishaga kwenye mitihani migumu huyu mtoto! Afu akawa ana ni zoom ntafanyanje. Bado nikafaulu.
Muiteee hapa nataka nimpe kile moyo wake unatakaa.Ngoja tumwite, nasisitiza apewa apewe.