Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,800
Hamna kitu AI kakuchomesha 😅😅
Huu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala niniHuu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
HahahaHamna kitu AI kakuchomesha 😅😅
sasa kama hakuna uhalisia unachokasirika nini?Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala nini
Punguza ka ujuaji kidogo 👍Hahaha
Mbona hata sijakasirika 😅😅sasa kama hakuna uhalisia unachokasirika nini?
Ilikua ni mwaka gani na mkoa gani mkuu ?Nakumbuka niliwahi kuiona sura yako kwenye duka la simu na sio dar ni mkoani..!!
We faaalalaaa mimi ni Bald bhanaa 🤣🤣🤣
Just for funMbona hata sijakasirika 😅😅
Nimeshangaa tu wewe kufanya utoto wa namna hii hilo tu bro
Au kama vipi endelea au unasema je?
Mdogo wangu bora umesema 😂😂😂Hamna kitu AI kakuchomesha 😅😅
🤣🤣🤣 just for fun tu brother kiparaWe faaalalaaa mimi ni Bald bhanaa 🤣🤣🤣
Hakuna noma tuishi👊Just for fun
Watch your tongue carefulPunguza ka ujuaji kidogo 👍
Anakutoa kituko nikose wifi sikubaliii ng'ooMdogo wangu bora umesema 😂😂😂
You too, don’t overstep your boundariesWatch your tongue careful
Nimekuja kugundua humu jf wakaka wazuri hawanaga kelele😁🔥🔥🔥
Ila chivundu we wa moto🔥🔥🤣punguza hasiraKwa hiyo mbulukenge ndio tuna kelele sio! Acha dharau.