Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,920
- 9,678
Tanzania si salama tena UKiwa mkosoaji wa serikali ya CCM avoid sana interaction yeyote na members wa jf kwenye maisha ya uhalisia hawashindwi kukuuza kama walivyomuuza polepole.Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅
Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush
Intelijensia yangu haijawahi ku feli
CHino anataka aendelee kukuona hapa siku zote