Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅

Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush

Intelijensia yangu haijawahi ku feli
Kule nashinda sana na kuna muda nawapelekea moto, mate wangu binti kiziwi ananijua ndo maeneo yetu ya kujidai yale..!!

Sasa hivi tu ndo nimepunguza.
Soon narudi..!!

B yupi anayeni crush na mwenyewe sijui? 😹
 
Hua nakuona mara chache chache
Na sijawahi kukuona kwa nyuzi zangu pia za kule

Huyo B itifaki imezingatiwa
 
Hua nakuona mara chache chache
Na sijawahi kukuona kwa nyuzi zangu pia za kule

Huyo B itifaki imezingatiwa
Basi itakua tunapishana, kwenye nyuzi zako za siasa zipi hizo?

Jukwaa la siasa wananijua vizuri na mi ndo mfungua codes kule..!!

Nitajie huyo B basi mbona sijampata?
 
Back
Top Bottom