binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 17,026
- 47,459
Hili tukio hadi mamaangu nilimwadithia wala haijui JF 😂🙌🏻Btw JF imepoa nowdays nakumbuka yule jamaa eti akatoa location wakapigane
Hili tukio hadi mamaangu nilimwadithia wala haijui JF 😂🙌🏻Btw JF imepoa nowdays nakumbuka yule jamaa eti akatoa location wakapigane
Kama kina Dada mtanitetea sawa maana si wengine waoga maneno kidogo machozi debe 😅😅Hupati kesi dada zako tupo tutapiga watu.
Nadhani hukuwepo JF kuna jamaa alimualika mwenzio uwanjani wapigane badala ya kugombana humu 😂🙌🏻
We wakizingua sema suuuuu!Kama kina Dada mtanitetea sawa maana si wengine waoga maneno kidogo machozi debe 😅
Ndioooo 😂😅
Nilikuwepo sana si walikutana Tabata Shule 😂😂😂😂😂😂
😹😹😹Tope utapata wapi wewe Nicole Scherzinger!! Wa kupata tope sio wewe bosi kubwa.
We mwenyewe nimekukosa 😩 Siku ingine tutakutana hapa 😘Wewe nasikia umepitaa hapa Leo, nimepitwaa alooo?? 😢😢😭😭
Ngoja nipite TBT 😀Leo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
Tv gani tena 😹😹Uyo yupo kama pisi za kwenye Tv kumbe ushawah muona
Si ndioooooNgoja nipite TBT 😀
Janja janja FC, msichana mrembo ila tapeli hakamatiki kimapenzi sijui yupoje.Lamomy wengi wanamyali sana! Mjanja mjanja mno/
NImekosa maneno kabisa ya kuweka naomba tukupitishe kama jihan
Udugu selfika😂😂😂😂
Baaasiiii 😀 hili limeisha DadaWe wakizingua sema suuuuu!
Sema kipindi kile sikuwa nachangia nilikuwa msomaji tu, Hekaheka nyingi za JF nimezishuhudia 😂😂Ndioooo 😂
Usijariii uduguuu. 😘😘😘Udugu selfika
Muanze kula carrot kwa wingi, 😹😹Nimemuona hapa hapa mwanangu. Steve Rogers kasema anafanana na Nicole Scherzinger, sikumpinga.
😂😂😂😂 usijarii kaa kimastaa.We mwenyewe nimekukosa 😩 Siku ingine tutakutana hapa 😘
Bye maa ❤️Bi mzuri my lovelysister🥰 binti kiziwi 😍
Heaven gelo Lamomy
Magical girl Chica Gee
cocastic wewe bado sijakupatia jina
Chivundu mtu ya kongo papaaa
@Supaida nyoka future shemeji 🤣🤣
Guys I'm out laleni unono
Kesho nayo siku
Nawapenda sio kimapenzi
ShesRise_1 ✋️
😹😹😹 kweliBinti muongo wewe 🙌🏼🙌🏼
Naitafuta hapaSi ndiooooo
Chabo kwa wote 😹😹Nilihisigi chabo tunapiga _me_tu