Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,068
- 101,256
Muanze kula carrot kwa wingi, 😹😹Nimemuona hapa hapa mwanangu. Steve Rogers kasema anafanana na Nicole Scherzinger, sikumpinga.
Macho yenu hayaoni vizuri..
Muanze kula carrot kwa wingi, 😹😹Nimemuona hapa hapa mwanangu. Steve Rogers kasema anafanana na Nicole Scherzinger, sikumpinga.
😂😂😂😂 usijarii kaa kimastaa.We mwenyewe nimekukosa 😩 Siku ingine tutakutana hapa 😘
Bye maa ❤️Bi mzuri my lovelysister🥰 binti kiziwi 😍
Heaven gelo Lamomy
Magical girl Chica Gee
cocastic wewe bado sijakupatia jina
Chivundu mtu ya kongo papaaa
@Supaida nyoka future shemeji 🤣🤣
Guys I'm out laleni unono
Kesho nayo siku
Nawapenda sio kimapenzi
ShesRise_1 ✋️
😹😹😹 kweliBinti muongo wewe 🙌🏼🙌🏼
Naitafuta hapaSi ndiooooo
Chabo kwa wote 😹😹Nilihisigi chabo tunapiga _me_tu
Ngoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa 😹😹😹Prime Amber rose ndo yeye sasa
Ukija uku wanakuita Amber rose na wanavojua kushangaa matarcleNgoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa 😹😹😹
Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Futa comments hii inabaki na picha.Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Sasa urefu ulokua unasema uko wapiTunabonda na kunyongaaaa!!!!
🔥🔥🔥🔥
Huyo huyo wa wiz wa Black and yellow
Time fliesIle ngoma ya Roll up, mle kuna demu wa kuvaa kikaptula kapiga American Boot (Timberland), ile pisi nafikiri Whiz Khalifa alichukua resemblance ya Amba.... of course Whiz ni muhuni anaejua mademu...