Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika 😂😂😂 Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea 🤦🏻‍♀️
Kaka ako wapiiii 😹😹

Sema li monk lizuriiiiii 😍😍

Ungekuwa sio mate wangu ningemkwapua 😹😹😹
 
Navopenda chakula cha wachina mimi, nina marafiki zangu waliniletea hii sijui walijua mi mlevi mwenzao, Linaonekana li kali kama bomu sijawahi onja nimeiweka tu

View attachment 3691451

Ntamtunuku Bwashe min -me
Hili bomu ukimpa min atamtukana mpaka Max 😹😹😹
Chondechonde usimpe, muache apambane na visungura vyake..!!
 
Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hivi

mi napenda wenye miili mikubwaaaaa yaani wakubwa afu warefu mi nakuwa hapo kafupi kama kirikuu nipo tu nakomaa 😂😂😂

Growing up nilikuwa mwembamba sana so nikatengeneza obsession na wenye miili, Naogopa mwenye mwili mdogo tusijeonekana wanafunzi bureee tukazuiliwa kuingia lodge 🤣

Je papaa yukoje?
Papaa yupo hapo hapo 🔥🔥🔥

Vitru vyako aiseeee..!!
 
Back
Top Bottom