spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,759
- 23,207
Namletea yeye najua size 38 inamtosha
Cancel order ya sneaker atatupiga matukio 😹😹😹
Cancel order ya sneaker atatupiga matukio 😹😹😹
Elfu 5 itakupeleka wapi mate, acha tamaa za vipesa vidogo vidogo..!! 😹😹Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.
The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
😹😹😹Nimesema kweli tena kweli tupu
Nyie watu wa abroad miyeyusho kweli, niliahidiwa sneaker toka mwaka jana mpaka leo sijaipata Ambition plus sneaker yangu iko wapi? 😹Namletea yeye najua size 38 inamtosha
Siku hizi jf mademu mmepoa?😹😹😹 Kama kweli vile..!!
ID za mwanzo zilikuwa 1."Maghayo" 2.Mbusususu Enthusiast akaChange ikawa "The Mongolian Savage" 3. "The stress Challenger"Terminator 😹😹
Sasa id zote hizo za kazi gani?
Sio zangu hizo mimi nikirudi begi 4 au 5Nyie watu wa abroad miyeyusho kweli, niliahidiwa sneaker toka mwaka jana mpaka leo sijaipata Ambition plus sneaker yangu iko wapi? 😹
Wee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!Siku hizi jf mademu mmepoa?
Zamani hapo lamo unafatwa pm hapo kaa mbali na chino we mshenzi!
Sitaki hata umquote.
Huku jukwaani kidume unashangaa mbona sasa hivi mtoto ana quate kumbe kitumbua kishatiwa mchanga tiyar
We utapata migebuka umeniwashia sana kwa binti kiziwiNyie watu wa abroad miyeyusho kweli, niliahidiwa sneaker toka mwaka jana mpaka leo sijaipata Ambition plus sneaker yangu iko wapi? 😹
Kumbe mnakua serious hivoWee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!
Mi ukinipiga beat ndo nafanya makusudiiiii mbona maji ataita mma 😹😹😹
Bora atulie ajifanye kama haoni..!!
Kama ninavyolizingua Chiwawa 😹😹ID za mwanzo zilikuwa 1."Maghayo" 2.Mbusususu Enthusiast akaChange ikawa "The Mongolian Savage" 3. "The stress Challenger"
Nikazichoma kwa mods IDs ya Maghayo na Stress Challenger zikala permanent ban , hapo ndipo akaja kwa hasira na ID upupu kama hizo kunikomoa 😂 😆
Hapa jukwaani Mimi ndiye rafiki yake mkubwa na wakati huo huo ni adui yake mkubwa kila mtu ana enjoy kumchokoza mwenzake 😆
Kuna siku game ilipigwq mida kama hii; nikamwambia mamkali jikaze basi! Sema kibubu bubu nayo jau.Mnasubiri usiku wa manane kama wanga cha pili mnafanya sa ngapi chino 😆😆
Okay, na mi no 39 basi 😹Sio zangu hizo mimi nikirudi begi 4 au 5
Nilikuwa nazurura 🥹🥹, Sikuombi tena ntadeal na wewe tradishenale 😂binti kiziwi , sasa uache kuniita tapeli. Sijawahi tapeli mtu. 😊
Migebuka ya nini iniwashe koo mi 😹😹We utapata migebuka umeniwashia sana kwa binti kiziwi
Kibubu we kuwezaKuna siku game ilipigwq mida kama hii; nikamwambia mamkali jikaze basi! Sema kibubu bubu nayo jau.
Uswahilini matola jau kweli
😅😅😅 unaswampaa dada bana nipeleke kwa Faly😒😒
Sijaiona nimesikitika sana, But no worries kesho nayo sikuNimekutumia picha hapo juu! ShesRise_1 atakuwa nayo.