ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,023
- 49,078
Sina hii sijaona nitampa za jana aangalie kwa uzuri sehemu ya ku zoom ata zoom🤗🤗Nimekutumia picha hapo juu! ShesRise_1 atakuwa nayo.
Sina hii sijaona nitampa za jana aangalie kwa uzuri sehemu ya ku zoom ata zoom🤗🤗Nimekutumia picha hapo juu! ShesRise_1 atakuwa nayo.
Kanunue kinjunga kwanza, JKT tulikuwa tunaambiwa sifa “wepesi” na kwa fally sifa kinjunga juu ya goti chini ya tako😅😅😅 unaswampaa dada bana nipeleke kwa Faly😒😒
Okay, na mi no 39 basi 😹
Kinjunga nitapitia kesho kinondoni nikirudi kutumikia matajiriKanunue kinjunga kwanza, JKT tulikuwa tunaambiwa sifa “wepesi” na kwa fally sifa kinjunga juu ya goti chini ya tako
hua najiuliza ungekulia uswahilini ingekuaje.Wee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!
Mi ukinipiga beat ndo nafanya makusudiiiii mbona maji ataita mma 😹😹😹
Bora atulie ajifanye kama haoni..!!
Sasa muongeze viwango sio vipesa njaa makuwadi mnafeli wapi? 😹😹Mi na Coca ndugu 😂 Maokoto lazima
Khaaaa..!! 😹😹Yaani ungekuwa siriazi hii kazi naimaliza dakika nawapa na bnb yangu seaview au kijitonyama (Anasemaga kijitonyama kuna giza? 😂💔
Mwenyewe ngumi mkononi 😹Mkorofi yule wewe afu ngumi mkononi Ila lizuri lina takoooo
😹😹😹😹 kijiwe kisipoe mate..!!We nakujua mzinguaji hutaki mtu yeyote unachangamsha genge tu humu.
😹😹 Nimetolea mfano, sijawahi kufatwa ila atakayethubutu atasimulia na wenzie..!!Kumbe mnakua serious hivo
Atalindwa kwa gharama kubwa sana .Muache babe wangu magayo 😂😂😂😂
(Mi naye ni polygamous bai nature, Spider nisamehe bebi 😘😩).
Natamani niwe jirani yenu niwapige chabo 😹Kuna siku game ilipigwq mida kama hii; nikamwambia mamkali jikaze basi! Sema kibubu bubu nayo jau.
Uswahilini matola jau kweli
Kuna mda hata kunena unaweza kusahau! Oyaa achana na pale kati.Kibubu we kuweza
Angezuga basi kama ananena kwa lugha wangejua mpo kwenye maombi😆
Naikumbuka hii 😂😂😂😂Atalindwa kwa gharama kubwa sana .
Ugomvi umeshindwa kumalizwa Jf , sasa nimepanga nimfuate anapoishi Sweeden tukamalizane kidiplomasia na nishampata msuluhishi kutoka Jf yupo huko huko Mamtoni kasema yupo tayari nikifika afanye arrangement ya meeting baina yetu 🤝
Itakuwa siku ya Historia Jf , nitaleta uzi wa mrejesho
Cheki hapa TBT babe wako akinibeza , hapo utajua kuwa Mimi si mkorofi 😂
View attachment 3691466
😂
Hilo hapana 😹View attachment 3691464
Wewe ntakuletea Wanaita alpargatas Mungu akijalia nkirud huku
😹😹😹😹hua najiuliza ungekulia uswahilini ingekuaje.
Kuna mda unaashushaga paragraphy utafikiri ni wa kule kwa binyau kumbe wa kishua.
Mmoja ya vitu una viinjoy ni vita mchuchu! Tena sikuhizi naona una jizuia sana haha.
Tunatoboa tu chino maamzi tuKuna mda hata kunena unaweza kusahau! Oyaa achana na pale kati.
Mwezi mwaka hua mnatoboaje kwani
Mmoja ya dhambi ambazo nimewahi zifanya ni hii ya chabo kwenye makuzi yangu afu nayo Ina addiction tu kama pull.Natamani niwe jirani yenu niwapige chabo 😹
Hilo hapana 😹
Niletee sneaker ndo vitu zangu..!!
Mpaka uache kunikandia Lamomy
Sasa dereva anaachaje kujua gari lake jamaniUmejuaje ni 38 we mchawi
Tbt nyingine hiyo nadhani ni 2021 nilianza kupata pata mwili, nadhani niliiweka humu hii picha mtunza ma file penseli atakuwa nayo
View attachment 3691467
Hapa naona dalili za mtu Kuja kugawiwa kwa timetable maalumTunatoboa tu chino maamzi tu
Kwani ni chakula kile kusema usipokula unakufa?
Igweeeeeeeeee 😍😍😍Umejuaje ni 38 we mchawi
Tbt nyingine hiyo nadhani ni 2021 nilianza kupata pata mwili, nadhani niliiweka humu hii picha mtunza ma file penseli atakuwa nayo
View attachment 3691467