Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni 😍😍😍

Papaa, Papaa, Papaa

Nimekuita mara ngapi?

Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!

Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe 😹

Piga mabobo kwa papaaa 🥰🥰🔥🔥

Fally nitakuwa mie mchimba chumvi! Mimi sina maringo, hapa BK atanisaidia.

Sasa upapaa upi, unamananisha?
Upo upapaa kwa maana ya ubaba/mukulu, upo upapaa kama pedeshee (Mutu ya pesa mingi), upo upapaa (udii) yaani utapeli! 😊
 
Fally nitakuwa mie mchimba chumvi! Mimi sina maringo, hapa BK atanisaidia.

Sasa upapaa upi, unamananisha?
Upo upapaa kwa maana ya ubaba/mukulu, upo upapaa kama pedeshee (Mutu ya pesa mingi), upo upapaa (udii) yaani utapeli! 😊
Upapaa wa pesa mingi ukiingia counter ni Ndenge nini cherry mwasi kitoko
 
Papaa ana vitu vyako, body lina degree ya uvuvi haramu..!! 😹
Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hivi

mi napenda wenye miili mikubwaaaaa yaani wakubwa afu warefu mi nakuwa hapo kafupi kama kirikuu nipo tu nakomaa 😂😂😂

Growing up nilikuwa mwembamba sana so nikatengeneza obsession na wenye miili, Naogopa mwenye mwili mdogo tusijeonekana wanafunzi bureee tukazuiliwa kuingia lodge 🤣

Je papaa yukoje?
 
Back
Top Bottom