Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,180
- 10,795
Mimi napinga kwangu wengine wajisemeeee😹😹😹😹 Wakatae kama nadanganya hapa?
Mimi napinga kwangu wengine wajisemeeee😹😹😹😹 Wakatae kama nadanganya hapa?
Wadanganye watoto wenzio 😹Ngoja uone nilivyohuru🥳
😹wewe mbn ukisema upo single tunaamini ila mimi nikisema huamini ?Wadanganye watoto wenzio 😹
Ukinipa visungura itakua poa sana😅😅Visungura au kimpumu? 😹
Wewe tena 101% imevuka 💯 😹😹Mimi napinga kwangu wengine wajisemeeee😹
Shusha mamaaUnanuna bado sijashusha mkeka? 😹
Mimi inajulikana JF nzima kama mwali kigego 😹😹😹wewe mbn ukisema upo single tunaamini ila mimi nikisema huamini ?
binti kiziwi shida hakai atulieWote hao wana macrush wao 😹
Steve Rodger’s wako
Chivundu wa Chica
Spider binti kiziwi
Niendelee kushusha mkeka?
Ili umwage radhi 😹Ukinipa visungura itakua poa sana😅😅
Noo siwezi bhana mimi utani tu, ngoja ni selfika now nitumeIli umwage radhi 😹
Em selfika kwanza tukuone chatungi..!!
Nianze na yupi?Shusha mamaa
Tatizo binti kiziwi hajui atulie na yupi? 😹😹binti kiziwi shida hakai atulie
Namuona tu binti kiziwiTatizo binti kiziwi hajui atulie na yupi? 😹😹
Akili yake ipo kwa The monk mwenzio..!!! 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Komaa ipo siku atakusikia ukiziwi utamuisha juu yako..!! 😹Namuona tu binti kiziwi
Sisi walevi wanatuona miyeyusho tu😅😅😅😅 viva bia😅Tatizo binti kiziwi hajui atulie na yupi? 😹😹
Akili yake ipo kwa The monk mwenzio..!!! 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Hio nayo kaziKomaa ipo siku atakusikia ukiziwi utamuisha juu yako..!! 😹
Weka vitu sasa tuone wachaga wa mwaka wa mbele 😍Noo siwezi bhana mimi utani tu, ngoja ni selfika now nitume
Punguza visungura 😹😹Sisi walevi wanatuona miyeyusho tu😅😅😅😅 viva bia😅