Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Mbona magogoni..!!
Na sijui kapotelea wapi?
Sijamuona week hii kabisaaa..!!

Anataka miamala yake urudishe umeshindwa kufanikisha mission.!!
Aaah wapii, yule hadi anikamate aning'oe kuchaaa,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi kuna party nilishiriki, pamoja na kwamba nilikuwa kwenye mkongojo wangu lakini wala sikuwaza kuhusu Usalama wangu

Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma

Tulikuwa na Dr Slaa, Tundu Lissu, Nape, Juliana Shonza n.k tukijadiliana nao mambo kadhaa wa kadhaa

Lakini saivi hata kuomba kuletewa Kiko naogopa Babu yenu πŸ™Œ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
 
Ngoja tusubiri baada ya 2030 kuona hali itakavyokuwa

Lakini kwasasa kila mmoja anatunza roho yake, maana haina mbadala ikitoka

Tangu 2016 niliacha kuomba Kiko kwa wajukuu na kukaa stendi kuzisubiri πŸ€—
Sawa babu hata hivyo ni vizuri usije kufia kwenye vifua vya wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…