Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe basi nilidhani yeye maana naona anakazana kuomba picha ya kwake haweki๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Huyo bwana Penseli ana id Chiwawa hamfikii..!!

Ndo anayesambaza pic na price tag huko pm ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mfano anachukua pic ya Lamomy anatuma na maelezo ni winga kkoo anauza vijora, JF bwanaake โ€ฆโ€ฆโ€ฆ Hapo anakuwekea mtu mnayetaniana. Kisha anasema ukiwa na kiasi kadhaa umempata..!!

Kama uliwahi kuweka contact zako basi anarahisisha mambo anakujazia na namba zako za simu kwenye profile yako..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ