Msijariii, leo niko hapa.Weka yako hapa tufaidike
Duh kapanda kitengo sasa hivi namuonaje yupo busy vile ?Taste acha uoga na wewe, ukute na yeye anasubiri uguse, aachie muende honeymoon.
ππππ
Uvae unioneshe hapa mlongo. πππAirmax ninayo kesho nitavaa na kushow up, hii nayo mbaya ? π π π π
Muheshimiwa sana naomba na wewe upite tufaidikeWeka yako hapa tufaidike
Wewe acha zako, wee pambania kombe, usiniangushe ujue. Hakuna kuchoka.Duh kapanda kitengo sasa hivi namuonaje yupo busy vile ?
Kwanini?Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Mida ya mchana mapema tuUvae unioneshe hapa mlongo. πππ
Taste acha uoga na wewe, ukute na yeye anasubiri uguse, aachie muende honeymoon.
ππππ
Yani ukinirudilia ile ya suti sina noma π₯πMuheshimiwa sana naomba na wewe upite tufaidike
Ipi tenaYani ukinirudilia ile ya suti sina noma π₯π
Hawaniitiiiii aiseeeKwanini?
Weka nichague ni ipiπΉπ₯ππ―Ipi tena
Nimekuita mara mbili haupo? Upendeleo gani tena? πNdio ukweli. Bwana Steve Rogers anapendelewa sana.
Doooh π level yake ni hatari anapambana na kina pumpkins π head π€£π€£π€£Wewe acha zako, wee pambania kombe, usiniangushe ujue. Hakuna kuchoka.
Utaweka ngapiWeka nichague ni ipiπΉπ₯ππ―
Kesho nayo sikuMimi sijaona bwana! Nimetoka kucheki boli, ndo nimefika home hivi. Hebu tuone basi. π