Kwa kweliπ€£π€£π€£Kijana wangu apambane kwanza πππ asije ghafla akaanza kuanzisha nyuzi za makasiriko kuhusu Pisi za Jamiiforums.
Upo sasaTupe ya mwaka huu
ππππ udugu nimechekaa mie hadi sio poa,πΉπΉπΉπΉ Alikuona sio level zake?
Akuache tena akae kwa kutulia..
Hii dunia duara wahenga walishasema, muda wowote wa mwisho anakua wa kwanza..!!
Zidisha kumkera mpaka ajione mavi, hao ndo wanaume wapuuzi..!!
Sasa anatamba hapo MUHAS wakati hata ajira hajui ataipata vipi? πΉ
Kwanza ajira kapata?
Una urefu gani ? πTupake tuende kwa shemeji yenuπΉππΈπ₯΅
View attachment 3690626
Yeah kuepuka makasiriko ajitafute tu Kijana wanguKwa kweliπ€£π€£π€£
We huoni lamomy kamsifuπYeah kuepuka makasiriko ajitafute tu Kijana wangu
Kama wa JihanπUna urefu gani ? π
HahahaKama wa Jihanπ
πππ ataweza kumudu presha ? Maana kwa kina Lamomy kule ni Ma-Super Women tuWe huoni lamomy kamsifuπ
Hamna Kaka , uhaya ningeweka nipo Sea cliff mgahawani hapo ni ya kigumu home alone πUmeanza uhaya brazaπ
Kama vile nimekuzidiπHahaha
Wa hivyo ndo wanatoboka tena akiwa na kiswaswadu mpaka mtaji anatoa wa biasharaπ€£πππ ataweza kumudu presha ? Maana kwa kina Lamomy kule ni Ma-Super Women tu
Huuu ukucha ukikupita kifuani na hii elnino unaacha ndalaTupake tuende kwa shemeji yenuπΉππΈπ₯΅
View attachment 3690626
ππAnasa hizo kula kuku jumanne kakaHamna Kaka , uhaya ningeweka nipo Sea cliff mgahawani hapo ni ya kigumu home alone π
Yani zinapendeza vyema nikiwa nahesabu hela ulizonigawia πΈπΉHuuu ukucha ukikupita kifuani na hii elnino unaacha ndala
Inasikitissha upendeze uku ukihesabu pesa zangu how?Yani zinapendeza vyema nikiwa nahesabu hela ulizonigawia πΈπΉ
Mimi mkongwe broKijana wangu apambane kwanza πππ asije ghafla akaanza kuanzisha nyuzi za makasiriko kuhusu Pisi za Jamiiforums.
Kwa hiyo mmekasirikaWe huoni lamomy kamsifuπ
Tumefurahi kwanza unapendezea kuwa mbaba π₯³Kwa hiyo mmekasirika