binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,684
- 46,616
Leo uhakika tulia!Jana ukanikimbia
Watuache tulio single, wenye mahusiano yao wapite hatutaki shengesha la malalamiko ya kuibiwa bwana hapa..!! πΉUnaonaaa! Huu uzi wa watu single ninyi double mtasababisha maafa.
Ila kweli umemponda spider, mbona nilimuona mrefu?Utamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Vingine vyote yuko fresh, ila huo ufupi wake, πππ
Ni zamani kumbe sio sasa, karefuka na kanenepa.Ila kweli umemponda spider, mbona nilimuona mrefu?
Mbona mi sijamuona aliyemuwahi?Yatakushinda mate ππππ
Huyu kijana kawahiwa ila basi tu wanaume hawajui kutulia π€£
Malizia nmesema saiv nmekua mtu wa mviringo kama chivayoNi zamani kumbe sio sasa, karefuka na kanenepa.
Uduguu, yule jamaa ni vitu vyangu, sema sahivi nimezeeka, ingekua enzi zangu ningemsarandia mie.Ya nini ufe na tai shingoni udugu wangu na vitu vyako unavijua khaaaaa..!! πΉπΉπΉ
The ghost aje aselfike nishasahau muonekane wake..!
πππ spider una nini lakini? Ko km Bonge nyanya?Malizia nmesema saiv nmekua mtu wa mviringo kama chivayo
Ningepost hapa sema npo na watu wengineπππ spider una nini lakini? Ko km Bonge nyanya?
Umeanza na midundo yako πΉ
Si baadae jamanii uduguu, now macho mengi. πππUdugu sababisha nimefika..!! π
Rangi hiyo nimeimiss kuiona..!!
Sasa hivi yuko vizuri nilimuona jana..!!Ni zamani kumbe sio sasa, karefuka na kanenepa.
Nipite naked ?π€£Umeanza na midundo yako πΉ
Tupia pic yako hatutaki hizo ndula.!!
Oooh jamanii em post tu hivyo hivyo.Ningepost hapa sema npo na watu wengine
Ile ni mwaka jana npo mjiniSasa hivi yuko vizuri nilimuona jana..!!
Katupia na Leo tenaa.Sasa hivi yuko vizuri nilimuona jana..!!
πππNashindwa kwelewa (kwa sauti ya mchina)
πΉπΉπΉπΉ Eti ungemsarandia khaaaaa..!!Uduguu, yule jamaa ni vitu vyangu, sema sahivi nimezeeka, ingekua enzi zangu ningemsarandia mie.
ππππ