Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa 😂
Hiyo mlifanyiwa attemp assassination 😃😃

Menu heavy hivyo mnabeba zege😃😃
 
Sio saiv tena labda nje ya mji

Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500😃

Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka 😃


Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo 😃

Dah! Nimecheka kinoma, bora ulikuwa na hela. Jenga tabia ukifika sehemu ya misosi,uliza bei kwanza. 😁
 
Hapo sahihi😃

Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalize😃😃

Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom