MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,614
- 14,052
hela saiv sina mshaniroga 😂Thank you champ! 🥰
selfika hata na hela tu tupate hasira basi 😅
hela saiv sina mshaniroga 😂Thank you champ! 🥰
selfika hata na hela tu tupate hasira basi 😅
Kuna mtu mnamtafuta amepotea? 😹Pita nilale umebaki wewe 😊
umejuajee?😂 tupia basi tajiri tuone mshepu huoKwahiyo usingizi wako unategemea pic yangu 😹😹
Bali panavuma, aliyeenda atuambie kwanza wanapanda panda je maana mi na starehe za kizungu mbali mbali, masuala kama ya kupanda na kuteremka kama kule pugu kazimzumbwi 🙆🏻♀️Twende mpaka choma na kule Bali camp 😹😹
Moro nilitoka majuzi kati kwa moto sasa hivii..!!
Acha kona kona 🤪Kuna mtu mnamtafuta amepotea? 😹
Wana selfika hao, watu wabayaaaa… Inshallah zitakuja tenahela saiv sina mshaniroga 😂
Watu wa motoonii😁😁Wana selfika hao, watu wabayaaaa… Inshallah zitakuja tena
Sawasawa mkuu.Uwanja wangu wa Nyumban huu sema itabid niongeze mahudhurio
Nimetoka hapo nimeshajifunza... Uzuri saiv natumia lipa sana kulipia bidhaa nikitumiwa hela kwenye simu siitoi itatoka kwenye manunuzi ndo kilichoniokoa walikua wana lipa namba..😃Dah! Nimecheka kinoma, bora ulikuwa na hela. Jenga tabia ukifika sehemu ya misosi,uliza bei kwanza. 😁
😹😹😹😹 Hapo kwanza nncheke..!!umejuajee?😂 tupia basi tajiri tuone mshepu huo
Owaa sio pow mkuu tukawapa wadau (wenyeji wa huko) walikua pemben na sinia lao wakapiga na yetu na bado wakasema hata ugari ukija tena wanabonda tukachoka😃😃😂😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Ushaambiwa choma, choma si milimani..!!Bali panavuma, aliyeenda atuambie kwanza wanapanda panda je maana mi na starehe za kizungu mbali mbali, masuala kama ya kupanda na kuteremka kama kule pugu kazimzumbwi 🙆🏻♀️
Alafu huko kienyieji kienyieji kwel 😃😃🙌🙌🙌balaa mkuu, nilipita kwa Bibi akachinja jogoo akapakua kila kitu kaweka mezani af tuko wawili tu 😁 sina hamu
nachokupendea hujui kuringa sema mapozi tajiri mapozi 😂 em selfika bhana tusifie uumbaji wa Sir God 🔥😹😹😹😹 Hapo kwanza nncheke..!!
Shape naitoa wapi mimi kimbau mbau km mwiko wa pilau?
Nimetoka hapo nimeshajifunza... Uzuri saiv natumia lipa sana kulipia bidhaa nikitumiwa hela kwenye simu siitoi itatoka kwenye manunuzi ndo kilichoniokoa walikua wana lipa namba..😃
kule ni hatari aisee, huku mjini tunaonja tu vyakulaAlafu huko kienyieji kienyieji kwel 😃😃🙌🙌🙌
😹😹😹 Unanimock?Acha kona kona 🤪
Nataka kuona rangi ya mtume na wowoooo pulizzzzzzz
Aaah sio kweliBasi tu nimewagaya 😎
Hii nimeiona, tupia nyingine tajiriiiii 😍😍