Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kanda ya ziwa vyakula kibao mkuu, sikuiz nikienda kutembea maskani huwa naondoka bila hata kuaga maana kila muda misosi 😂
Sio saiv tena labda nje ya mji

Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500😃

Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka 😃

Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo 😃
 
pole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napo

nmetoka uko mwezi wa 8 kutembelea ndugu na jamaa aisee kuna mshikaji wangu mmoja kwao dsm nilienda nae alihisi kama wanafanya kufuru ya chakula. tuliondoka bila hata kuaga mtu
 
pole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napo

nmetoka uko mwezi wa 8 kutembelea ndugu na jamaa aisee kuna mshikaji wangu mmoja kwao dsm alihisi kama wanafanya kufuru ya chakula. tuliondoka bila hata kuaga mtu
Hapo sahihi😃

Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalize😃😃

Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
 
Weka nihakikishe basi mate, toto la kinyaturu lenye rangi ya dubenga..!! 😹
Tuko muoneee 😀 Ngoja nitafute niliyokula kimini, ujue mi na miguu membamba afu napenda kujitoa ufahamu kuvaa vimini 😂💔
Halafu nimemiss tule tusamaki twa Moro wanatuita nguruka.. 😹😹
Tule tusamaki tuna chumvi? 🤣
 
Hapo sahihi😃

Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalize😃😃

Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
hahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa 😂
 
Back
Top Bottom