MkemiaaMiss grand regional Nyakiboo
Jana naleo dr Samaleko!Mkemiaa
Mmeshindikana 😂Wakinga wamezishusha za kutosha, afu zinateleza flani..!! 😹
Tunaziita batiki msukuma..!
Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba 😂Kuna outfit hiyo kanichagulia ndo nivae hiyo siku, sasa mi ananiletea umarekani wake kwa mkinga wapi na wapi? 😹😹
Eti nivae old school outfits kweli? 😹
Nimemgomea, nimemuonyesha kimin cha leather na ankle boots kakataa eti unaenda kupanda farasi? 😹😹
kanda ya ziwa vyakula kibao mkuu, sikuiz nikienda kutembea maskani huwa naondoka bila hata kuaga maana kila muda misosi 😂Kama kanda ya ziwa sawaaa🤝
hili nimeliona huku
Kuna sehemu hata parachichi hawali
Ubless muda wangu mkemiaJana naleo dr Samaleko!
Nibless tu nisifie uumbaji wa MunguMmeshindikana 😂
Dah.
Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba 😂
Ewaaaupande huu
Usitake kaka Chivundu anione muongo 😄Chumvi imezidi sasa 😀😀
nilikua napita😅Ewaaa
We pita tenanilikua napita😅
hebu pita kwanz maan sijakuona siku nyingi na mimi nitarudiaWe pita tena
Nmepita hapo dkk chache zilizopitahebu pita kwanz maan sijakuona siku nyingi na mimi nitarudia
sijakubahatishaNmepita hapo dkk chache zilizopita
Night kali pita na moja top notch nahisi kama unadeni. 😄😀😃 ndiyo unaongeza maneno
sijakubahatisha
Upo wapsijakubahatisha