spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,658
- 22,988
MkemiaaMiss grand regional Nyakiboo
Jana naleo dr Samaleko!Mkemiaa
Mmeshindikana ๐Wakinga wamezishusha za kutosha, afu zinateleza flani..!! ๐น
Tunaziita batiki msukuma..!
Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba ๐Kuna outfit hiyo kanichagulia ndo nivae hiyo siku, sasa mi ananiletea umarekani wake kwa mkinga wapi na wapi? ๐น๐น
Eti nivae old school outfits kweli? ๐น
Nimemgomea, nimemuonyesha kimin cha leather na ankle boots kakataa eti unaenda kupanda farasi? ๐น๐น
kanda ya ziwa vyakula kibao mkuu, sikuiz nikienda kutembea maskani huwa naondoka bila hata kuaga maana kila muda misosi ๐Kama kanda ya ziwa sawaaa๐ค
hili nimeliona huku
Kuna sehemu hata parachichi hawali
Ubless muda wangu mkemiaJana naleo dr Samaleko!
Nibless tu nisifie uumbaji wa MunguMmeshindikana ๐
Dah.
Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba ๐
Ewaaaupande huu
Usitake kaka Chivundu anione muongo ๐Chumvi imezidi sasa ๐๐
nilikua napita๐Ewaaa
We pita tenanilikua napita๐
hebu pita kwanz maan sijakuona siku nyingi na mimi nitarudiaWe pita tena
Nmepita hapo dkk chache zilizopitahebu pita kwanz maan sijakuona siku nyingi na mimi nitarudia
sijakubahatishaNmepita hapo dkk chache zilizopita
Night kali pita na moja top notch nahisi kama unadeni. ๐๐๐ ndiyo unaongeza maneno
sijakubahatisha
Upo wapsijakubahatisha
Kimino kishakataliwa ๐นMmeshindikana ๐
Dah.
Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba ๐