Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Carleen binti kiziwi Vincenzo Jr
Jamani mshakata ticket ya tar 28 kwa Fally?

Yaani hiyo siku sijui itakuwaje? Wohiii 😍😍

Najiona nikiimba nyimbo zake zote bila kuchoka 😹😹😹

Sijui niibuke na vinguo vya nyuzi vya Mallerina 😹
Mwambie Mallerine akushonee ka kaptula uvae na tishet ya white na raba utawakaaa.

Naombea Mungu nisijekuwa mawilayani huko kinirambe 😭
 
Mwambie Mallerine akushonee ka kaptula uvae na tishet ya white na raba utawakaaa.

Naombea Mungu nisijekuwa mawilayani huko kinirambe 😭
😹😹😹 Kaptula ya nyuzi nyuzi..!!

Ujue hiyo siku nna mpango wa kupanda stejini, sasa kuchekesha watu sitakiiii 😹

Jitahidi mate hiyo siku uwepo jijini tukaimbe na mahi wetu..!!
 
Back
Top Bottom