Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,208
- 185,060
Usimfanyie hivo lamama anao wengi ila kakukubali weyee! Hebu mfanye aone vizuri siunajua uzeee😃😃Anikome mimi! Wajukuu si anao wengi huko 😁
Usimfanyie hivo lamama anao wengi ila kakukubali weyee! Hebu mfanye aone vizuri siunajua uzeee😃😃Anikome mimi! Wajukuu si anao wengi huko 😁
Aah wapi! Bado sijafikia ile goal👌🏽
Atoe ela kwanza🤣Usimfanyie hivo lamama anao wengi ila kakukubali weyee! Hebu mfanye aone vizuri sounajua uzeee😃😃
Hebu fanya namna mzee apate kiko kwanzaaa wazeee wanatakiwa kujaliwa ujue😂Aah wapi! Bado sijafikia ile goal👌🏽
Unamuita mbabu aanze kuomba kupelekewa kiko kama kawaida yake🤣
Kumbe na hela anazo na hasemi?? Akufanyie wepesi sasa weekend umpelekee kiko mapema sanaAtoe ela kwanza🤣
Hebu nibless we mwanamke acha kunijaza upepo miyee🤣Hebu fanya nampa mzee apate kiko kwanzaaa wazeee wanatakiwa kujaliwa ujue😂
Hahaha atoe pesa bwana wee anataka kupelekewa kiko na hana mia? Haiwezekani bana!!😆Kumbe na hela anazo na hasemi?? Akufanyie wepesi sasa weekend umpelekee kiko mapema sana
Eti wanasema kuangalia maeneo yaliyopungua kuliko eneo lingine eti ni dawa kwa sisi Wazee 🤭Hmm we mzee na umbea🙌🏾
Nna mpya sasa!!! Bado sijanunua kimeo kipya Nyingi za zamaniHebu nibless we mwanamke acha kunijaza upepo miyee🤣
Pole sana umechelewa!Eti wanasema kuangalia maeneo yaliyopungua kuliko eneo lingine eti ni dawa kwa sisi Wazee 🤭
Nimekaa tayari kujionea hivyo 🤪
Hahaa kwani tumeziona zote za zamani! Nibless tu mwanao😁Nna mpya sasa!!! Bado sijanunua kimeo kipya Nyingi za zamani
Komaa mzee! Utaletewa tu..Nimekaa rada hapa kujionea wajukuu zangu
Maana hata Kiko hawataki kuniletea kabisa Babu yao 🤪
Bilashaka anashughulikia hilo chap kwa harakaNdio achangamke nione muamala chap kwa haraka!
Tena awahi weekend yangu ishaanza na sichekeshi😁Bilashaka anashughulikia hilo chap kwa haraka
Naona jitihada za kupungua zimegonga mwamba aseee sijui nifanyeje!Hahaa kwani tumeziona zote za zamani! Nibless tu mwanao😁
SeranNaona jitihada za kupungua zimegonga mwamba aseee sijui nifanyeje!