Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,206
- 185,059
Nimeikosa hii
Nimeikosa hii
NpooNilipitiwa na usingizi dr. Upoo??
Subiri hapo hapoNimeikosa hii
Niko hapa standby.Subiri hapo hapo
Asalamalekooo🙋🏻♀️Hatudaiani uelekeo kasulu
Mbona sioni kitu😐Nilipitiwa na usingizi dr. Upoo??
Bado sijajianika lamama nilikua Nawqsubiri na spidernyoka mkuje!Mbona sioni kitu😐
Mimi nimeshafika shoriiBado sijajianika lamama nilikua Nawqsubiri na spidernyoka mkuje!
Sauwaasauwaa ngoja nimalizie ishu moko hapaMimi nimeshafika shorii
Upo?Sauwaasauwaa ngoja nimalizie ishu moko hapa
Nasubiri kabisaSauwaasauwaa ngoja nimalizie ishu moko hapa
Kuna na namba 9 dr
Mkija mnipigie!!Nasubiri kabisa
Mkemia umenchoresha leoKuna na namba 9 dr
Mkija mnipigie!!
Ndiyo najiwazisha hapa kama nitaweza kwenda ama la..!😒Carleen binti kiziwi Vincenzo Jr
Jamani mshakata ticket ya tar 28 kwa Fally?
Yaani hiyo siku sijui itakuwaje? Wohiii 😍😍
Najiona nikiimba nyimbo zake zote bila kuchoka 😹😹😹
Sijui niibuke na vinguo vya nyuzi vya Mallerina 😹
Hapana dr saile nilitingwaa nkapitwa kurudi nakuta manyoyaMkemia umenchoresha leo
Mahi diha, 😘😘Saint Anne upo wapi nimekumiss, unendelea kuvaa soksi??😀😀
May day nyimbo pendwaCarleen binti kiziwi Vincenzo Jr
Jamani mshakata ticket ya tar 28 kwa Fally?
Yaani hiyo siku sijui itakuwaje? Wohiii 😍😍
Najiona nikiimba nyimbo zake zote bila kuchoka 😹😹😹
Sijui niibuke na vinguo vya nyuzi vya Mallerina 😹
😂😂😂😂Sema nini….. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
😂😂😂😂