binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,414
- 45,746
Afu mwanetu unakaa nje wewe bana, unatukoga tu humu! πWe mama umekuja lini kibirizi umenikosa
πHalafu limtu linasema eti hakuna pisi kali Selfika/JF. Jiizazi! You are gorgeous!
Kuna vitu ukiwa na uwezo unafanya.Andaa ng'ombe fuso 2, maana ni kinanda hasa yaani π€
Nipo. Dawa ya deni ni kulipa. Nishalipa na sidaiwi binti kiziwi ππππ
Pita bana usinitapeli, lipa nikulipe ndio lugha ya selfika π
Nalala muda sio mrefu mjukuu, ila nikisikia yule Kijana uliyemtaja anarusha jiwe juu ya bati kukuamsha, nitampiga faini π€ͺπ π π π Lala Babu ake.
Chica Gee . Sijawahi kukuona hata kiwiko sis. Fanya jambo please ππΏEbanaaeeee in raraa reree voice
Oyaaaaa Mungu fundi, Sister you are so cute β€οΈβ€οΈπ₯π₯π₯ binti kiziwi
Nje ni burundiAfu mwanetu unakaa nje wewe bana, unatukoga tu humu! π
Hayo ndiyo manenoKuna vitu ukiwa na uwezo unafanya.
She deserves.
Nitakudanganya sipiti leoChica. Sijawahi kukuona hata kiwiko sis. Fanya jambo please ππΏ
Siku ukipita nitag ππΏππΏππΏNitakudanganya sipiti leo
UsiwazeSiku ukipita nitag ππΏππΏππΏ
Ategemee mafurikoHayo ndiyo maneno
Infact she looks cute, Macho ya Wazee yameona π
Screenshot nione Kama usemayo kweli? πΉPm kwa wengine nikatafute nini na wewe upo.
NIshakunywa maji ya bendera yako
πΉπΉπΉ Ilala mabegani hii..!!Hahaha
Inaonekana unasakwa sana uingizwe kwenye radar za watu wakusambaratishe kama demiss, shughuli yako iishie hapo.
Hahaha hivi watu wanatumianaje mipapa.Screenshot nione Kama usemayo kweli? πΉ
Hujatumiwa papa huko pm kweli? πΉ
Unatuchezesha kidumbwe dumbweπΉπΉπΉ Ilala mabegani hii..!!
Nitawauza maboya mpaka wachoke wao..
Thank you babes wangu mzuri πEbanaaeeee in raraa reree voice
Oyaaaaa Mungu fundi, Sister you are so cute β€οΈβ€οΈπ₯π₯π₯ binti kiziwi
Lala π au huko kwenu mchana.binti kiziwi nlienda kdg umepita hata sjakuona ujantag