Selfika na JF: Snap it. Show it

Unapenda shengesha? 😹😹

Subiri kuna siku nitakutag wakianza humu..!!
Ila sasa niwe nimepata umbea vizuri raha ya shengesha uwe na clue, usipokuwa na taarifa utashindwa kuchamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku ile nimemwambia mama Mchungaji tuongee ili tukinukishe, masikini dada wa watu akasema tuachane naye (Ndio ujue wanawake wanawaheshimu wanaume, Ila wanaume akipata upenyo wowote hata wa uongo anakudhalilisha vibaya.
 
😹😹😹 Nyie ndo mnafanya tuanze kuambiwa tunajifungulia nyuzi humu..!!

Nyuzi za nakupenda Lamomy zilikua nyingi mpaka @tlaatah naye akaibuka vichakani huko eti nimempenda huyu mama mtumishi wa kuitwa lamomy 😹😹😹

Mlijua kunikomesha, natukanana mpaka nyuzi zingine zinafungwa na ban napewa juu..!!
 
Kuna mkaa humu simtaji alikuwa anamnanga mdada Fulani kwenye Uzi mmoja aliuanzisha huyo mdada tena kwa makombora makali,

Huyo Dada uvumulivu ukamshinda akamwaga risiti za mwamba akiwa Pm analialia zamani , ilikuwa aibu nzito mods wakafuta huo Uzi na huyo Dada akala ban mpk Leo hayupo.

Nilifanikiw kudowload hizo risiti nikaweka akiba jamaa akileta shari niuze kwa maadui au akinichokoza nimlipua akiambie Jf ila nikaingiwa na huruma coz mwamba sio mtu mshari hapa Jf ndio basi alipitiwa nikaamua nizifute tu Shetani asije nipitia siku akinichokoza nikamdhalilisha
 
SIO YA KWELI!
 
Siku ingine usifute mpe Coca mtunza Masjala πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakati naandika huo uzi Mimi mwenyewe nilikuwa nacheka πŸ˜‚ πŸ˜†

Mimi uzi wangu ulikuwa mmoja , na huwa sipendi kugombana na Wanawake hata kwenye maisha ya kweli najua ni ngumu sana kushindana nao maana ukiingia kichwa kichwa unaabika , hapo nilijichanganya tu πŸ˜†
 
Mama mchungaji bana mimi alikua ananisanua kuhusu id moja hivi jukwaani..!!

Katika kushangaa hilo nikakuta kanichomekea neno kuhusu mmiliki wa hiyo id Kwamba kuna member alimwambia eti namfahamu lamomy anaishi buza je, ni kweli? Hiyo ni baada ya kuona huyo mpuuzi tupo close na wog..!

Wog akamjibu hakuna anayemjua Lamomy humu wala anapoishi huyo mtu muongo..!!

Nikamwambia nitajie huyo mtu akagoma, nilitaka nimsuuze yeye mpaka hiyo id. Pona pona yao wog hajamtaja..!!
 
Nasikia ana jicho chongo 😹😹😹

JF haitakiwi kukutana wala kujuana na mtu humu..!!
 
Naomba hizo risiti for future use puliiizzzz 😹
 
Siku ingine usifute mpe Coca mtunza Masjala πŸ˜€πŸ˜€
Nina udhaifu nikumuona mtu anadhalilika kwa ajili yangu naamuia sana hata ikiwa Mimi ndio nimechozwa na nimelipa kisasi

Mimi ndiye nilikuwa mtu wa mwanzo kuziwahi , nikahifadhi kwenye safe box , nikajisemea sababu Jf vita nje nje hii nitaitumia kama Nyuklia nikiona mwamba kavuka mipaka katika kunidhalilisha Mimi au mtu mwingine , text zilikuwa ni za kumvua nguo kabisa za kushusha heshima from Hero to Zero.

Huyo mwamba Selfika alikuwepo sana kwenye maugomvi ya humu , ndio maana nikazitunza hizo risiti ili akijichanganya tu kuMisBehave nimripue .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…