Baba starz ni ostaadhi hatoi wala hapokei rushwaπΉπΉπΉ Mwambie baba stars akupe bhana..!!
Baba starz ni ostaadhi hatoi wala hapokei rushwa
Huo ndo ugonjwa wa min sasa πΉπΉπΉNgoja nichochee ugomvi , hayo ndiyo mambo ninayoyapendaga π π
Labda wadada wa humu mliwahi kumkataa mwamba ndio maaana anatema moto mkali .
Nakumbuka enzi za shule tupo ghetto na machizi tulikuwa tunajadili Pisi Kali za shule na kuzithaminisha akatajwa demu mmoja Pele machizi wote kama 8 tulimsifia ni Pisi ila jamaa mmoja peke yake akawa anaabisha na kumkandia kinyama kuwa ni demu mbovu wakati huyo demu alikuwa Pisi π₯ π₯
Kila tukipiga stori za Pisi mwamba anamkamdia huyo demu mpk tukawa tunashangaa tukawa tunahisi labda mwamba ana chuki zake binafsi au alimtongoza akapigwa kisu kikali , tukimwambia mwamba Madai hayo alikuwa anaakataa anasema demu ni mbovu tu wakati akipite barabarani kila sehemu watu weweeeeeeeh kafungasha haswa si yuko portable na rangi sio poa !!ππ
Mwisho wa siku tukagundua kwa taarifa za uhakika jamaa kumbe aliwahi kumtongoza akakataliwa vibaya mno ndio maana anachuki za kinyama kwa yule demu . Baada ya kugundua tulicheka sana tukawa kila tukimuona jamaa tunamcheka π
Heka 10 naweza kupata tan ngapi?Uje tu nakupa bure π
Hahaha sijaponda na nyuzi naziweka chitchat , na wapo wadada mpaka ndugu zangu humu , hivyo ni hisia zako tu.Huo ndo ugonjwa wa min sasa πΉπΉπΉ
Kila akianzisha uzi anaponda wadada wa selfika. Mpaka tunajiuliza min kuna mdada kamkataa humu?
Mwanaume rijali hawezi kuponda wanawake hata siku moja..!!
Mimi nimekoma kushindana na Wanawake humu nakumbuka Kuna siku nilijichanganya wewe Dada ulinichamba vibaya mno na kunitukana .Mimi nakupasha kama wakili wao..!!
Acha kushindana na watu wanaoingia period kila mwezi, au wewe ni anko T unataka kuchambana humu??
Tan za mpunga au mchele?Heka 10 naweza kupata tan ngapi?
Aki mmeanza kulewa mapema sana vijana.Sema niniβ¦.. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
ππππ
Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .Aki mmeanza kulewa mapema sana vijana.
Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .Sema niniβ¦.. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
ππππ
Sasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?Sishindani na watu , wala sina shida na mtu, ni mada tu kama mada zingine ndio maana mods wanaziacha labda zinagusa tu ila sina nia ya kumtageti mtuπ
Wewe bwana ππππ Gayo the boy!Binti kiziwi mtu akijichanganya akuseme vibaya wewe kaisha , naita kikozi changu kazi cha WaMongolia kazi inaisha nikigawa vipisi vya bange humu kunawaka moto .
WaMongolia hatuingiliagi ugomvi ila hapo watatuchokoza sasa π π
Ila vingine anapokea? πΉBaba starz ni ostaadhi hatoi wala hapokei rushwa
Hahaha , sioni tatizo, mods wangeona shida wangeufutilia mbali na wangenipiga ban , kama wameacha wameona hauna shida kabisa unafaa kwa matumiziSasa kama hushindani na ni thread tu kwann uwamention wadada wa selfika ambako unalala na kuamkia huku?
Acha kushindana na wadada kwanza inafanya hata ulio nao karibu wakuogope wajione na wao hawako safe..!!
Suala la kusoma comments mniachie nyie vuruganeni tu, kikubwa muwe na bima ili akizidiwa mtu tusipate shida kumtibu.Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .
Lamomy mwenyewe kanichambia min me ila lamomy hana shida nae kaona tu amsuuze.
Yeah! vingine vyote anapokea rijali yule .Ila vingine anapokea? πΉ
Kwenye 1 na 2 on the beeeeeeet .Wewe bwana ππππ Gayo the boy!
Mi nataka watu watajane majina ila nichague timu ya kuingilia.Suala la kusoma comments mniachie nyie vuruganeni tu, kikubwa muwe na bima ili akizidiwa mtu tusipate shida kumtibu.
Nawashukuru sana, nami sitawaangusha π€£π€£π€£π€£Kwenye 1 na 2 on the beeeeeeet .
Sisi kama Gayo family kwa umoja wetu wote tunasimama na wewe katika kila hali