Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...eti mnajisnap na kuji AI
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...😅😅😅😅😅😅
 
Njoo nikupe ubuyu wa motomoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…