Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
 
Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
Samahani kwa gazeti ila sisi tunafurahia kujieleza! Kazi yetu kuandika tu. Ndiyo maana tunaandika Vitabu!
 
Vipi tajiri yangu

mi sina lolote bhana mbwembwe tu, limbukeni wa mwisho af mkorofi kinoma noma ukiniletea pigo sizielewi πŸ˜‚
Nilijua ulivyo muhansamu utakua mpole, lol kumbe nilikua najidanganya..!! 😹😹😹

Em tupia pic za pesa ili nipate nguvu za kuita wateja waje kununua vijora..!!
 
Samahani kwa gazeti ila sisi tunafurahia kujieleza! Kazi yetu kuandika tu. Ndiyo maana tunaandika Vitabu!
Hapa umefikisha ujumbe kwa mtu uliyemkusudia..!! 😹

Hujanijibu, mi niko kundi lipi hapo?
Maana na mimi muhusika selfika..!!

Kwa single maza sipo, haya kwenye hayo makundi yaliyobaki kipengele kipi nipo? 😹
 
Nilijua ulivyo muhansamu utakua mpole, lol kumbe nilikua najidanganya..!! 😹😹😹

Em tupia pic za pesa ili nipate nguvu za kuita wateja waje kununua vijora..!!
Mimi na uhensam wap na wap sura ya babu mimi πŸ˜‚

Sina pesa nakwambia untumie buku hutaki, haina noma tajiri
 
Mimi na uhensam wap na wap sura ya babu mimi πŸ˜‚

Sina pesa nakwambia untumie buku hutaki, haina noma tajiri
Wewe ni hansamu bana tena kijana maji ya kwanza..!!

Mimi kukutumia wewe pesa ni sawa na kutoa maji kwenye kijiko kwenda kujaza baharini..!!

Tajiriiii weka mzigo 😹😹😹
 
Hapa umefikisha ujumbe kwa mtu uliyemkusudia..!! 😹

Hujanijibu, mi niko kundi lipi hapo?
Maana na mimi muhusika selfika..!!

Kwa single maza sipo, haya kwenye hayo makundi yaliyobaki kipengele kipi nipo? 😹
Gazeti langu linaendana na umri! Tueleze umri wako tukueleze ulipo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila G, kwanini lakinii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…