Hebu anza wewe wa maji kwa kwanza labda utani inspaya πAcha uoga tuma pic tuone uumbaji huo πΉ
Mtoto mkaree kama wewe unaogopa nini?
Mi simu yenye pic ipo kwa fundi..!! πΉHebu anza wewe wa maji kwa kwanza labda utani inspaya π
Wacha weeeh π tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu πππMi simu yenye pic ipo kwa fundi..!! πΉ
Wewe maji ya kwanza tena yale ya moto kabisaaa..!!
Twendee kazi somo na kungwi wetu wa JF
Namba moja unashika wewe
Namba mbili unashika wewe
Namba tatu unashika wewe
Dj mlete kungwi mwenye Tbs zake JF anajiita binti wa zamani lakini mtoto bado mbichii kama ni mchicha basi ni ule uliochumwa alfajiriiii jogoo linawikaaaa..!!
Tambaaa binti wa zamani, uwanja ni wako..! πΉ
πππYBWYB Mamba 24 haikwepekiβ¦!! πΉπΉπΉ
Konki konki masta
Wewe lete ma-idea kama unayo, Jambo hilo lifanikiweβ¦.!!
Nakukaribisha ujiachiee..!! πΉπΉWa
Wacha weeeh π tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu πππ
View attachment 3678915
Ngoja niite visu humu waje kutupa mambo Mallerina kijukuu cha mtume, njoo uwaonyeshe uumbaji π
ππππ uduguu wee ni chizii au?πΉπΉπΉ Umepatiwa kazi kabla hujagraduate..!! Chezea babu miga..
Halafu hizo kazi zote zipo kwenye vitengo vizuri vya pesa..!!
Ushindwe wewe..
Babu alikua na ulimbo mkali, ndiomana alizitafuna sana..!!
Watu wakisikia watapewa kazi Airport, TCRA au bandarini chap wamevua vichupi..!! Miga anajiondomolea kwa raha zake na selfie ya ukumbusho unapigwa kukazia kazi..!! πΉ
πππ kwa kweli.πΉπΉπΉπΉ Ila babuu
Kuna parody lake moja alikuja nalo akaniambia wewe lazima ndani ya huu Mwaka nikukamate labda kama sio mimi.
Hiyo ilikua 2024 nikacheka sana..!!
Nilitaka nimfanyie utoto wa mjini lakini nikaona nitapoteza muda kudeal na machizi..!!
Yani huyo ningeruhusu tukutane lakini yeye ndo angekuja kusimulia yaliyomkuta..!!
Na pics angepigwa yeye πΉπΉπΉ
Anakutana na wajinga wanamchekea
πΉπΉπΉ Babu miga woyeeeee
Nijiachie kwenye mtandao wa wasiojulikana πNakukaribisha ujiachiee..!! πΉπΉ
"kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza" πππWewe mbona mzuri bana unajishtukia..
πΉπΉπΉ Hapo tumuulize dr manyau nyau au NIMEROGWA?ππππ uduguu wee ni chizii au?
ππunanichekesha ila umepotea mnoWacha weeeh π tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu πππ
View attachment 3678915
Ngoja niite visu humu waje kutupa mambo Mallerina kijukuu cha mtume, njoo uwaonyeshe uumbaji π
Umeanza lini uoga? πΉNijiachie kwenye mtandao wa wasiojulikana π
"kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza" πππ
Tuishi humo!
We mchochezi, punguza maneno, anza kwanza wewe kuselfika tutafuata mfano wakoUmeanza lini uoga? πΉ
Sasa nani atakujua humu na ushasema wasiojulikana?
Nyie warembo mbona mna hofu leo nini shida? πΉπΉWe mchochezi, punguza maneno, anza kwanza wewe kuselfika tutafuata mfano wako
πππ wewe utapagawa sana na mie.Acha zako kaka, acha kuchafua mtu kwamba anakula exhaust...
Pengine alitaka kuhakikisha kama we kweli Ke...
Halafu kama mtu ameamua kutembea na wanawake humu si kosa kisheria...
Hata kama akiamua kutembea na jf yote, hakuna tatizo...
πππ majiraniiiiii hukuuuu!!!Kaka mbona unachafua wenzako hivyo...?
Pengine alijua we ni pisi kali...
Akakutana na njemba ina ndevu hadi mapele kwenye kidevu hata kama ni mimi lazima nikimbie tu...
Uduguu ntakubondaaa sahivii, haya maelezo yote ya nini? πππMamaa cocastic tamu ya boss kubwa JF King wa mivoucher..!!
Pisi kareee ya muda woteee
Unawaka hata kwenye giza la usiku wa manane..!!
Advocate wa vidampa wote wa mjiniiii
Mtoto wa kingoni na kimatengo..!!
Huna kazi mbovuuu kwenye uwanja wa fundi seremala..!!
Dada engineer anayechora mpaka maisha ya wajuaji..!!
Tambaaa Mrs Mjep, tambaaa mke wa bossss
Uwanja ni wako.. JIACHIEEEE
WAONYESHE WAJA UZURI UMETUNUKIWA HAUJAUNUNUA KWA SURGERY
DJ nileteee Engineer wa UDSM πΉ
ππππΉπΉπΉ Hapo tumuulize dr manyau nyau au NIMEROGWA?