Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Mkuu mambo ya wanawake achana nayo. Hawajawahi kushaurika kwenye iyo sekta
 
Dahh inaumiza sana mkuu! Poleni kwa wahanga wanaotuma picha za uke uko piemuni, hope watajifunza!
 
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu๐Ÿ˜Ž
Tena aposti mabulungutu ya pesa akiwa kwenye Rolls Royce ili kupandisha presha za wavulana ๐Ÿ˜‚
 
Hao sijawaona unaweza ukawataja tuwachambue..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nyie mtunikiane lakini msiyalete sasa huku..!!

Sisi wengine kazi yetu kuchachua, hivyo tunaruka na habari mnazoleta..!! ๐Ÿ˜น
 
Nikijibu tena hapa mtaniita mchawi! Ila sisi ndio wale pangu pakavu tia mchuzi๐Ÿคฃ
nani asiekujua wewe tajiri wa wakinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nje ya mada, humu JF kuna vituko sana ukiwa mgeni utatamani ufute ID upotee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ