Nimeiiba hata sio yangu!!Mama Mio π
Shape ya mwaka wa mbele haina mbambamba π₯π₯
Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapaπΉπΉπΉ Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Mi nawasapoti shida wanawake wengine wana roho za wivu, chuki na roho mbaya..!!Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????
Wanawake kwa wanawake kudhalilishana Haipendezi mrembo!
Mi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!πΉπΉπΉ Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!
Deni linaisha na pesa za kuanzia miradi tunapewa bure..!!
Weee thubutuu, ni wewe huyo πNimeiiba hata sio yangu!!
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.Wanashtua umaskini..!!
Zako ziko wapi utupostie tajiriiiiiβ¦ πΉ
Upi tena?Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa
Yaaah ipo maana najua akitucheleweshea mshahara basi malalamiko yangu nayaeleta kwako tuUpi tena?
Huyo boss wako ana pesa mi sitaki mwanaume namuomba pesa ya kuongezea mtaji wangu wa vijora halafu yeye anajizungusha..!! πΉπΉπΉ
Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Unazo πΉMi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!
Anyways !Vipi wazo langu la women supporting women hapo juu unasemaje????
Niunganishe naye πΉYaaah ipo maana najua akitucheleweshea mshahara basi malalamiko yangu nayaeleta kwako tu
Kabisa yake make anapenda makebo kwako naona ndo nyumbani haswaaaNiunganishe naye πΉ
Naona makuwadi mko wengi sasa hivi..!
Hapa nikikosa mume basi itakua mi ndo nimezingua..!! πΉ
Achana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .Unazo πΉ
Women supporting ipo vizuri tuanze na mimi kwanza mnichangie mtaji wa vijora..!! πΉ
Mimi nakubali shida ipo kwa wake wenza wa humu wataweza kupendana? Hapo ndo swali lilipo..!! πΉ
Hapo ndo tatizo lilipo mi flat screen, afu wewe unamfatilia vipi boss wako mpaka kujua anapenda matraco?? Mhmmm!!Kabisa yake make anapenda makebo kwako naona ndo nyumbani haswaaa
Mahondaw huwa nasikia tu sifa zako kuwa una shepu ya kufa mtu. Halafu nafika nakuta patupu japo huko juu uliweka. Unaweza kuirudia uliyoiweka huko juu? Just once mamake? ππΏAchana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .
Hata hao walioshea bilashaka kuna wanaowachochea nakuwajaza sumu.
Inashangaza sana kuona ke akishadadia ke mwenzie kudhalilishwa inashangaza sana
Hivi Ushawahi Shea bwana humu??
Mpemba huyuHapo ndo tatizo lilipo mi flat screen, afu wewe unamfatilia vipi boss wako mpaka kujua anapenda matraco?? Mhmmm!!
Wanaochochea ni mabwana zao..!!Achana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .
Hata hao walioshea bilashaka kuna wanaowachochea nakuwajaza sumu.
Inashangaza sana kuona ke akishadadia ke mwenzie kudhalilishwa inashangaza sana
Hivi Ushawahi Shea bwana humu??
Ukaribu wako na boss wako umenitisha..!!Mpemba huyu
Hela sita post aiseeSioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!
Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? πΉπΉ
Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!
Haya weka mzigo huo tuone