Ngoja nimuulize AI huenda akanisanua ambacho sijuiUnajuaje hii ya kienyeji hii yakizungu???
Ni filter tu hata usiamini kabisa picha zangu
Kabiiiiiiiiiiiiiiisa fanya hivo namie unipe mrejesho!Ngoja nimuulize AI huenda akanisanua ambacho sijui
Eka picha acha kutishia watu wazima nyau ww!Sawa tuko hapa ni michezo ya mdako tu
Kuna ukweli hapaKabiiiiiiiiiiiiiiisa fanya hivo namie unipe mrejesho!
Kama nikienda paris namimi nitaweka hapa niwe natamba tuEka picha acha kutishia watu wazima nyau ww!
Asante kwa taarifa. Bora hata sijui hayo mambo ya Ai!Kuna ukweli hapa
Unajitolea kumwaga vocha kama boss mjep 😹Nipe namba sasa..
Una kibarua!Kuna ukweli hapa
Nani kakwambia hapa ni watu wa paris tu weka hata kama uko tandahimba huko!Kama nikienda paris namimi nitaweka hapa niwe natamba tu
😹😹😹 Tayana risiti imetumwa hapa kesi yako ngumu..!!Duh
Hapana jmn
Naomba unisaidie, siko tayari kupoteza nilichonacho!🤌
We unajua ila unazingua katibu!
Najua tunataniana ila sio wote wanaoelewa kuwa huu ni utani watu wana wivu kipenzi ...wanapita kusoma humu...!
Siko tayari kuachika kipenzi, tafadhali sitaki ht kufikiria kwa mbali yaani!
🤝😉
😹😹😹 Tunaburudika tu!Haha mchuchu
Mda wote umejiandaa na mabomu*
Wanashtua umaskini..!!Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
😄😄😄😄Mimi ndio mfanya usafi, huoni muda wote niko active humu, subiri nifukuzwe😆
AI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!Kuna ukweli hapa
Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifaAI imekudanganya, hiko chuma kina baby face na shingo ya kukatika..!!
Kuhusu pesa anazo sema hataki watu wamjue… salary yake ina koma tatu..!!
😹😹😹 Vigezo anavyo si unaona pisi ilivyopoa..!!Nami naona huyu anaweza tumika kama dhamana kulipia deni la taifa
Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????Msiwe na roho za wivu hata nyie ruksa kupost mikokoteni na punda 😹😹
Unataka kushindana mwenzetu unalala wapi?
Unataka kushindana mwilini una rangi mbili 😹😹😹
Unataka kushindana na shepu lako la mchongo..!! 😹😹
Unataka kushindana mwenzetu single maza wa watoto watatu na kila mtoto na babaake..!! 😹😹
Ila hii taarabu inachekesha sana..!! 😹
Hivi hua wanawaona machizi wa JF walivyo au mi ndo sielewiii…!! 😹
Nimeiiba hata sio yangu!!Mama Mio 😍
Shape ya mwaka wa mbele haina mbambamba 🔥🔥