Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 773
- 2,448
PM kwa tajiri kumeanza kuchangamka wallahi! ππππΉπΉπΉ Wog yuko pm kwako?
Kweli tajiri umetishaaa
Countrywide ukuwadi wako kiboko, naomba na mimi niweke kwa pedezee moja la JF mshkaji wangu..!! πΉπΉ
Huyo wa shikamoo nani tena?
Mbona wino mwingi tajiriiiii
ThanksOoh pole na nilikua offline kdg sikufuatilia umefikia wap
JF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.Kuna picha fulani niliziona nikasikitika sana maana yule mdada nilikuwa namheshimu mno. Hata kama ni nguvu ya pesa that was too much!
We komaa tu na vijora sis maana mwanamke asiye na pesa zake mwenyewe ni mtumwa na anaweza kudhalilishwa na kutwezwa utu wake anytime hasa kama hajitambui.
πΉπΉπΉIzo picha si mpost apa tuzione au asiekuepo na lake halipo
Halafu kumbe mkaka mzuri hivi jamani ππView attachment 3677829
Lamomy hii picha unaikumbuka? Hiki kipindi ndo nilikua nmeaga kariakoo nkakimbilia huko mabonde kuinama.!!
i wonder inakuaje mwanaume unatumiwa nudes af vile huna akili unaenda kupost sehemu au unamtumia mtu like wtf.!!!!!!!!!!!JF wanaume wengi wadhalilishaji na kila siku mimi nawaambia hili.
Nishapigwa ban sana kwa kuwachamba hao wanaorusha pics zao za utupu kwa wanaume wa JF..
Wengi wao sijui wako desparate au ndo changamoto ya afya ya akili, au sijui ushamba na njaa njaa za kijinga..!! Hapo nashindwa kuelewa..!!
Kitendo cha mwanamke kutuma utupu wako pm ni kiwango cha mwisho cha kufikiri..!!
Wanaume wenyewe hawana utu wala kaba. Wanachojali kuwavimbia wenzao kwamba wamekuvua nguo.
Ni huzuni kwakweli.
Hata kama ni njaa zao zimezidi..!!
Si umesema sio vitu vyako wewe? πΉπΉTajiri ntumie picha za huyo dada mdangaji basi au viipiπ
Acha zako bhana tatizo matajiri mna mambo mengi mpaka mnasahau ππHalafu kumbe mkaka mzuri hivi jamani ππ
Pic siikumbuki leo ndo nakuona kwa mara ya kwanza..!! ππ₯
Uwe unatupia kila mara bana, vitu zangu kabisa wewe..!! πΉπΉ
Tuma namba nijaribu kusongesha πSi umesema sio vitu vyako wewe? πΉπΉ
Tajiri nitumie vocha, ubuyu nauza huu..!!
Wog kachangamka aiseee..!! πΉWog nshampiga pin hamna kurudi humu country asijemdalalia tena π€π½
Izo shikamoo ndo nyingi huko pm nakua naomba mapedeshee wa humu pesa πππ
Astaghfirullah πWog kachangamka aiseee..!! πΉ
Kanishinda hadi katibu wake anavyojiongeza πΉ
Aaahh Christine_1 wog igweeeeeeeeeeee
Umeweza mamaa mchungaji, Unachunga kondoo wasipotee mpaka pm wasipotee..!!
Unipe mbinu katibu wako jinsi ya kuzama pm alooo..!! πΉ
Tajiri wa moto πΉπΉPM kwa tajiri kumeanza kuchangamka wallahi! πππ
Umeokoka wapi wewe wakati kina wog wamejaa pm na pisi zingine kibao..!! πΉπΉi wonder inakuaje mwanaume unatumiwa nudes af vile huna akili unaenda kupost sehemu au unamtumia mtu like wtf.!!!!!!!!!!!
Sema humu kuna wanawake wapo cheap sijui unakuta umekaa huna hili wala lile mara text inaingia pm from no where ID yenyewe mpya machoni huku na huku mnachat mara nudes zinatumwa hahah wengine tumeokoka jamani. Ambao hatuezi izo mbanga ilitubidi kufunga pm.
Kwa staili hii inabidi namimi niage, see you again ππTajiri wa moto πΉπΉ
Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!
Sisi anatuaga jukwaani kumbe katulia pm kwa tajiriiiiiiiiiiiiiiii awwww wog kawezaaa πΉπΉπΉ
Kweli nimesahau nikumbushe basi πΉAcha zako bhana tatizo matajiri mna mambo mengi mpaka mnasahau ππ
Namba sina πΉTuma namba nijaribu kusongesha π
Tajiriiiiiii igweeeeeeeeeeeeeAstaghfirullah π
πΉπΉπΉ Usiondoke tajiri, umenifurahisha sana leo..!!Kwa staili hii inabidi namimi niage, see you again ππ
Tajiri wa moto πΉπΉ
Watoto wamemwagika huko wakiongozwa na mama mchungaji..!!
πΉπΉπΉ Umeona nilichokwambia?