Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu miga sema kazichapa kweli na anakuja na risiti za picha za aliowamega humu..!! 😹😹

Yupo humu sema ana id nyingine kumjua mpaka uwe na D mbili..!!
 
Huyo sikumuona mkuu, naeza kukaa miaka sijaingia humu nakua nipo chimbo kutafuta pesa nikizipata nakuja kupoa kidogo kama ivi then napotea ila sipo humu kwa lengo la kutega watu ambao hata siwajui wkt mtaani madem shazi πŸ˜‚
Yameisha mkuu. Hujafanya kosa lo lote na wala huna haja ya kujitetea. Live your life. Do whatever you want as long as it is legal. I am out! πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Bora umenisaidia kuuliza, kama hana vibunda anambie niwe namtumia picha anakuja kupost humu
Huyo anayemsema ni kweli alikua hivyo na kazichapa huko Morena na pics kazisambaza pm kwa watu..!! 😹😹

Mimi nilikua na mzigo wa pics za members aliopita nao. Wengine walikuwa wanamtumia wenyewe pic za nudes zao..!!

Tena kuna connection mpya ya mudada machachari humu selfika imevuja juzi kati hapo..!!

Wambea tunasubiri ajichanganye tumpe risiti zake…!! 😹😹
 
Khee uko mi sipo na izo mada sio vitu vyangu. Mi ntakua napost nachojisikia humu so long as simgasi mtu yeyote mengine hayanihusu mtajua wenyewe 🀣🀣
 
Khee uko mi sipo na izo mada sio vitu vyangu. Mi ntakua napost nachojisikia humu so long as simgasi mtu yeyote mengine hayanihusu mtajua wenyewe 🀣🀣
Masijala nilikua naweka makabrasha vizuri usijali..!! 😹😹😹

Tupia basi lile BMW lako tajiriii
 
Huyo anayemsema ni kweli alikua hivyo na kazichapa huko Morena na pics kazisambaza pm kwa watu..!! 😹😹

Mimi nilikua na mzigo wa pics za members aliopita nao. Wengine walikuwa wanamtumia wenyewe pic za nudes zao..!!
Kuna picha fulani niliziona nikasikitika sana maana yule mdada nilikuwa namheshimu mno. Hata kama ni nguvu ya pesa that was too much!

We komaa tu na vijora sis maana mwanamke asiye na pesa zake mwenyewe ni mtumwa na anaweza kudhalilishwa na kutwezwa utu wake anytime hasa kama hajitambui.
 
Izo picha si mpost apa tuzione au asiekuepo na lake halipo
 
😹😹😹 Wog yuko pm kwako?

Kweli tajiri umetishaaa

Countrywide ukuwadi wako kiboko, naomba na mimi niweke kwa pedezee moja la JF mshkaji wangu..!! 😹😹

Huyo wa shikamoo nani tena?
Mbona wino mwingi tajiriiiii
Wog nshampiga pin hamna kurudi humu country asijemdalalia tena 🀟🏽

Izo shikamoo ndo nyingi huko pm nakua naomba mapedeshee wa humu pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹 Wog yuko pm kwako?

Kweli tajiri umetishaaa

Countrywide ukuwadi wako kiboko, naomba na mimi niweke kwa pedezee moja la JF mshkaji wangu..!! 😹😹

Huyo wa shikamoo nani tena?
Mbona wino mwingi tajiriiiii
PM kwa tajiri kumeanza kuchangamka wallahi! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…