Vipo vya kutosha nyie tuMbona havitatutosha wote sasa
Mi hata kibunda cha pesa za madafu sina 😹😹We tajiri tulia bhana achana nasisi masikini 🏃
All is wellView attachment 3677631
Hapo zamani 🤗
I used to love this movie 🎥All is well
Haichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virusI used to love this movie 🎥
Nimekuwa naingalia mara nyingi bila kunikinai
Nshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka DarWee mbona umekazania mi tajiri 😹
Au unanikimbia kimtindo nisifaidi hizo dollar 😹
Jamaa walijua kupangilia story yaoHaichoshi narudia sana kumchek Principal Mr virus
Kumbuka Leo tulikuwepo wote Kilingeni msata. Tukapiga na Picha.😅
Njoo bonyokwa ulichukue 😹Nshakwambia ulete Benz unipe lift utaki mpaka kesho naondoka Dar
Bonyokwa ndo wap, ntumie locationNjoo bonyokwa ulichukue 😹
Tajiri hata bonyokwa huijui dah! 😹Bonyokwa ndo wap, ntumie location
Fr bonyokwa napaskiaga tu si unajua mi mgeni wa jiji 😁Tajiri hata bonyokwa huijui dah! 😹
Umezoea masaki na o-bay
Huku tunakaa watoto wa mbwa matajiri hamuwezi kupajua..!! 😹Fr bonyokwa napaskiaga tu si unajua mi mgeni wa jiji 😁
MkuuNtakupa mrejrsho