Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,724
- 34,690
Magari unapenda bana tena sana🤣Hata mi sipendi 😹
Kitu gani 😹Kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana hapa, itakua dada kasikia huko🤣🤣🤣🤣🤣
Cash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha 😂😂Hapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5k🤣🤣
Em rudi utadondoka, unaenda wapi? 😹Wewe ni mbingu mimi ni ardhi 😂 i bera woch my backkkk 🏃🏽
Siwezi kukuambia hapa, ila ntakukumbusha🤣🤣Kitu gani 😹
😹😹😹 Basi tu nimeamua kuendana na vibe..!!Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi🙌🙌
binti kiziwi tajiri yetu kumkumbusha Ile Forester itakua amechukia sana. Kumbe alishavuta mindinga mingine ya maana asee
Kweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamalaCash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha 😂😂
Nitaku pm mimi beibeeyy usijali 😹😹Una vitu vyangu kabisa tajiri umeanza kunishawishi 😂😂 fungua pm dk moja tu
Yaah siku moja moja sio mbaya. Tupia ghorofa hata upande tu nataka nimuonyeshe Binti kiziwi😹😹😹 Basi tu nimeamua kuendana na vibe..!!
Halafu unajua sio mambo zangu kujipost basi kuna kashetani kamenivaa..!!
Sio mimi huyo 😹Cha kwanza kuangalia ni mkononi ile pete na saa, vyenyewe havijabadilika🙌
Tajiri🙌
Kantry we ndo mchawi wangu, Mfalme kashanielewa unaanza kuharibu..!! 😹😹Hapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5k🤣🤣
Baas kuna nini tena 😁Nitaku pm mimi beibeeyy
😹😹😹😹😹😹😹😹😹Cash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha 😂😂
Nikumbushe na wewe basi..!!Siwezi kukuambia hapa, ila ntakukumbusha🤣🤣
Kabla sijaangalia vingine cha kwanza kabisa nilichoangilia ni mkononi Pete na saa🤣🤣Sio mimi huyo 😹
Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King 😹Kweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamala
Sio hapa bana duh🤣🤣Nikumbushe na wewe basi..!!
Huyu ni wa Tayana, alafu Tayana ni best yako sana🤣Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King 😹
Nalitoa wapi mi ghorofa 😹Yaah siku moja moja sio mbaya. Tupia ghorofa hata upande tu nataka nimuonyeshe Binti kiziwi
Mimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss 😂😂😂😂😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Baby em acha uoga basi..!!
Kwani nimekuomba pesa mimi??