๐น๐น๐น Mi nimeokoteza pic tu sio mimi huyo..!!Mbingu na ardhi mwenetu ๐ Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda ๐คฃ
Njoo nikupe funguo ujiendeshe bff wangu ๐Naomba lift bff
Ushazoea Benz bhana langu hutaliweza, nina ki BMW cha mchongo huwa nakitumia nikija Dar tu nikiondoka nakiacha ๐๐Basi nitaligawa tutumie lako ๐น๐น
Unaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,
Hawa kina lamomy bila kuwafata na mabenz au ma range inakua unapoteza muda. Wewe palepale tulia
Siku zinakimbia asee, hivi Jay si atakua form 4?Mungu, Mungu wake ambariki..!! ๐น
Vijora vimekuwa handbags ๐น๐นYaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.
Hawa ndio wameshika kkoo kwenye biashara za handbags na hizo high heels zenu
Wewe unapenda magari, Tayana hapendi magari Binti wa watu hana makuu kabisa maisha yote anavumiliaUnaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!
Tayana atapewa mwingine, Mbona wapo wengi humu..!! ๐น๐น๐น
Kwahiyo hunitaki? ๐ฅSikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe ๐
Kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana hapa, itakua dada kasikia huko๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃVijora vimekuwa handbags ๐น๐น
Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! ๐นUshazoea Benz bhana langu hutaliweza, nina ki BMW cha mchongo huwa nakitumia nikija Dar tu nikiondoka nakiacha ๐๐
Wewe ni mbingu mimi ni ardhi ๐ i bera woch my backkkk ๐๐ฝโUsijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! ๐น
Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi๐๐Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! ๐น
Nilikua najua tajiri bado ana Forester kumbe bana alishavuta mandinga mengine๐Wewe ni mbingu mimi ni ardhi ๐ i bera woch my backkkk ๐๐ฝโ
Ndo nani tena? ๐นSiku zinakimbia asee, hivi Jay si atakua form 4?
Una vitu vyangu kabisa tajiri umeanza kunishawishi ๐๐ fungua pm dk moja tuMFALME WETU usijali bana beibeeyyy nishazoea kutumia BMW. Nitadrive na yako pia ๐น
Mkuu umeniuzia msala ๐๐ฝโNilikua najua tajiri bado ana Forester kumbe bana alishavuta mandinga mengine๐
Hata mi sipendi ๐นWewe unapenda magari, Tayana hapendi magari Binti wa watu hana makuu kabisa maisha yote anavumilia
Cha kwanza kuangalia ni mkononi ile pete na saa, vyenyewe havijabadilika๐MFALME WETU usijali bana beibeeyyy nishazoea kutumia BMW. Nitadrive na yako pia ๐น
Hapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5k๐คฃ๐คฃMkuu umeniuzia msala ๐๐ฝโ