Kweli umechanganyikiwa πΉπΉHii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?ππ
Alafu nimemkumbuka yule dogo uliyemrekodi anataka kuhongaπππ
Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzinguaCountry unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ππππ
We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki π Countrywide njo ufunge hiki kikaoShusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! πΉπΉπΉ
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! πΉ
Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzingua
Dah kweli siku hazigandi aseeπ€£π€£Kweli umechanganyikiwa πΉπΉ
Mbona unataja watu siwajui??
Mate tuko pamoja wala usiwaze πΉAmetuacha kwenye mataa! π
Mbingu na ardhi mwenetu π Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda π€£Mate tuko pamoja wala usiwaze πΉ
Naomba lift bffSasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki π Countrywide njo ufunge hiki kikao
πΉπΉπΉ Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisaπ
Yaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.
Yani nacheka mpaka machozi πΉπΉπΉCountry unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ππππ
Kesho nikiwa na ile simu nyingine nitakuonyesha hata upande wa hilo ghorofa. Nakuahidi hili, lengo ni kuwa tu inspired na ashike mkono mates wenzie πMbingu na ardhi mwenetu π Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda π€£
Basi nitaligawa tutumie lako πΉπΉWe sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki π Countrywide njo ufunge hiki kikao
Jambo lipo ila ngoja kwanza tukujadiliπππΉπΉπΉ Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!
Tayana anachelewa, utampa mwingine akija.
Sasa hivi niweke hapo kwa Mfalme wetu..!!
Inshallah in Jesus name πAmesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.
Usije ukamzingua bana, huyu Binti kiziwi mm namuwekea dhamanaInshallah in Jesus name π
Sikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe πHuyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,
Hawa kina lamomy bila kuwafata na mabenz au ma range inakua unapoteza muda. Wewe palepale tulia
Mungu, Mungu wake ambariki..!! πΉDah kweli siku hazigandi aseeπ€£π€£
Tayana yupo kwenye maombi(mfungo) jumamosi anamaliza kwa hiyo vumilia mkuuSikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe π