Pole! Nimekuvua nguo boss kubwaWe dogo tumiaga akili basi.
Mtu aliyenunua kiwanja mbweni wakati kinauzwa mil 40 au mil 50, kwa sasa kiwanja hiko hiko kitakua mil 200+. Na hiko ndio nilichokua nikisema
Hayo mambo ya historia ya nini na nani kayasema?
Mfano wa pili: Mtu aliyenunua kiwanja goba miaka Saba nyuma kwa mil 30 au mil 40 sasa hivi kiwanja hiko hiko thamani yake itakua mil 100+, hapo ndio tunasema mtu alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa.
Mfano wa mwisho: IST kwa sasa inauzwa mil 22, lakini miaka mitano nyuma ilikua inauzwa mil 12. Hivyo mtu aliyenunua IST miaka mitano nyuma tunasema alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa
Hapo hujaelewa nini?
Mabinti mnaopush hizi forester huwa mnakuwaga na confidence sana aseeππHili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha ππ
ππππ»ππ»Mabinti mnaopush hizi forester huwa mnakuwaga na confidence sana aseeππ
Umeona mida hii ndo naingia tulikua tunagombania mwendokasi..!!Tulia mahi!
Nishafika twende kazi..!! π₯π₯Kichwa kilikua kizito, hapa nishaamka nipige hdta push mbili tatu nioge alafu nije kwenye jambo lako, mwaga moto kama dragonπ₯π₯
Wewe ndo unamuongpea..!!Usimfanyie hivyo bana, Binti kiziwi ni Binti mwerevu sana na mstaarabu hivyo haipaswi kumuongopeaπ
Wacha weeh..!!Jana? Hapana asee. Nilikua na mambo tu flani somewhere
Mi wote nawaambia ukweli tena coca ndo siwezi kumdanganya kabisaa..!!Kina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweli
Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉAlafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupe
Nipe location nije ningurumishe hii chuma πSasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
πΉπΉπΉHili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha ππ
Umeielewa? πΉNipe location nije ningurumishe hii chuma π
Unakula maisha tu π₯π₯
Toa wino mtakosa hewa πΉSadakalawee atakaeona aoneee π
Hewa tunapataa πToa wino mtakosa hewa πΉ
Wewe yupi hapo?
Hebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi πΉHewa tunapataa π
Wa kushoto hyo mwingine young bro π
Kesho nitatuma upya nyingine πHebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi πΉ