binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,194
- 44,905
Mnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?Wewe sio mzungu kweli jamn
Umetutelekeza kwenye maakuli.
Mnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?Wewe sio mzungu kweli jamn
Mufanga sanaMnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?
Umetutelekeza kwenye maakuli.
Ipi hiyo? 😹
Kuna watu wapuuzi humu..!
Dah 😀 tumekwisha.Kuna babu miga na wenzie wana tabia ya kuomba mkutane kisha analeta risiti humu jukwaani… Hao ni hatari sana..!! 😹😹
Ila kweli 🤣Zamani ipi?
Kuna kina manengero na demiss mbona waliletwa hapa na wakongwe wenzao..!!
Mufangaaa, ujaaa?Mufanga sana
Ebu selfika tena nikuone kama wewe ndugu yangu kwelMufangaaa, ujaaa?
Yaani kama mzungu hongeraMnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?
Umetutelekeza kwenye maakuli.
Lengo lako niendelee kupika madudu nisipate mchumba 😂Yaani kama mzungu hongera
Huko ninakuja sio mda simuyangu inachangamoto kidogo ya storage so nipate mpya kwanza nitarudi😀😀
Get ready, naandaa list kesho nakuja nayo😅😅😹😹😹 Wewe bana nifanyie jambo nililokwambia..!!
Suala la pesa hata huyo ninayemtaka anazo tena zile zenyewe kabisa 💵 sio za madafu..!!
Don't worry Hilo suala lako kesho tunalimaliza, list inakuja🔥Hongera kwa kumpa tayana mtu sahihi bado mimi sasa..!! Shusha mkeka nichague..!
Ungejua nilipo muda huu Wala usingebisha hili nililosema, shauri yako ngoja nifungue files😅😅Kwa kuwajaza watu uko vizuri 😹😹
Usitake kunigombanisha na mate wangu akajua kweli naweza kumpa connection kumbe mi mwenyewe APECHE ALOLO
Ikifikia hiyo siku nishtue, huyu tunammudu. Nna uhakika hawezi kukuzingua, wewe ni wa tofauti🔥Hata asipokubali namng’ang’ania 😂
Naona anabisha bisha tu hajui nitashusha files zote😅😅Country ni mbea tu lakini sio Muongo 😂
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa 😅
Guu la champagne 🔥Tutakufatilia 😀😀😀View attachment 3676023
Bado unaendelea kubisha? HayaKantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala 😹😹
Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! 😹
Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
Acha uongo wewe sio winga😹😹😹 Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
Ngoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopeaMate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
Aaliyah wewe ni definition ya neno upole. Nikikuonaga tu neno upole huwa linajia kichwaniWewe sio mzungu kweli jamn
punguza vitu kwenye simuYaani kama mzungu hongera
Huko ninakuja sio mda simuyangu inachangamoto kidogo ya storage so nipate mpya kwanza nitarudi😀😀
Nimeogopa sana! AloooNgoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopea
Sio ana duka tu, bali ana maduka mawili makubwa ya jumla hapo kkoo.
Moja ni la handbags(hiyo mikoba na mapochi yenu hayo kina dada)
Duka la pili ni la high heels na wedges(viatu vyenu kina dada)
Kumbe tunaishi na watu wana magorofa humu 🙆🏻♀️🙆🏻♀️ Nyie nyieeeAna ghorofa, na ndio anapoishi. Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Pia ana mjengo(apartments) kibada - kigamboni. Hizi kajenga mwaka juzi 2024, mimi shahidi toka anaanza hadi anamaliza. Wote tulikua na ujenzi wakati huo
Hivi Nyie ni watu au freemason.Ana biashara pia ya pharmacy, hii pharmacy ni ya jumla na reja reja.
Siku ukienda kkoo kwenye maduka makubwa ya jumla ya hizo handbags na hizo high heels, ikatokea ukamkuta Kuna dada mweupe ana kamzigo nyuma alafu jina lake linaanzia na P linaishia A, basi jua ndio huyu lamomy anayezurura humu.
Haya niliyokueleza nipo tayari unishikishe biblia niape.
Asikuongopee huyo