Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Weee baba wewe mbona muongo hivyo?

Unasimulia ndoto au hadithi za Abunuwasi??

Mimi wa kumiliki mali zote hizo? 😹

Na jina umenipatia lol!
Jina unalipenda hilo la Patricia, utafanya mdada wa watu P akapigwe picha na haters wa Lamomy huko kkoo wajue ni mimi..!! 😹😹

Na kamzigo nyuma umenipaaaa 😹😹😹

Kantry mwehu sana, kukuchukia weee kiumbe kazi sana..!! 😹
 
Hakuna hata moja la ukweli usimsikize 😹😹😹

Si umeona hata wewe ulivyoshtuka?
Sasa mi huku mara 10 yake mshtuko niliopata..!! 😹

Sina ghorofa nakaa zangu bonyokwa kwenye kibanda cha urithi..!!
Wala usiingie unyonge mate wangu..!! 😹
 
Ulikunywa nini jana? 😹
 
Huu ni uongo wa mchana!

Mbweni viwanja vya mradi 20,000 ni miaka ya mwanzo wa 2000 to be exact ni 2005! Picha zinazotolewa hapa ila sema kama mnatuletea za wajukuu zenu au Mnafurahisha genge
Acha kupanic, Wee nawe unaamini?
Mimi nilivyo na njaa naweza kumiliki hivyo vitu kweli? 😹😹
 
Acha kupanic, Wee nawe unaamini?
Mimi nilivyo na njaa naweza kumiliki hivyo vitu kweli? 😹😹
Kuvimiliki si shida unaweza! Ila alipotaja kuwa ulipata kiwanja Mbweni vikiwa rahisi.

Hapo ndipo si kukubali maana historia ya Mbweni naijua vilivyo. Kutoka makazi ya wavuvi wa kipemba, hadi kianzishwa Maputo. Enzi hizo Wafanyakazi wa chuo cha Usalama ndiyo wliokuwa wanalima matikiti.

Nakumbuka enzi za akina Afande Tibaijuka na watu kama Bruno ndiyo walikuwa na maeneo makubwa upande wa Mbweni Mpiji na hata huko Mbweni JKT wakati wa matamasha ya ufuska na mabangi.

Ikaja enzi za kupima viwanja 20,000 na wizara ya ardhi. Walio pata viwanja hivyo wengi walikuwa ni Wafanyakazi wa serikali.

Kwa umri wenu, kumiliki viwanja mbweni enzi hizo ni big no! Ila kuwa na kiwanja au ghorofa kwa sasa Mbweni ni sawa, maana hela zinatafutwa na wenye nazo ni umri wenu akina Lamomy
 
Huu ni uongo wa mchana!

Mbweni viwanja vya mradi 20,000 ni miaka ya mwanzo wa 2000 to be exact ni 2005! Picha zinazotolewa hapa ila sema kama mnatuletea za wajukuu zenu au Mnafurahisha genge
Akili uliyotumia kuandika hapa please usiitumie kuvukia barabara.

Mambo ya sijui mradi wa viwanja, mara sijui mwaka 2000, 2005 hayo yote yanatoka wapi? Nani kakuambia nazungumzia mwaka 2000 au 2005?

Mbweni kwa sasa viwanja vizuri bei ni mil 200+, lakini miaka 7 nyuma bei ilikua mil 50, 70. Aliyenunua Kwa mil 50 miaka 7 nyuma tunasema alinunua kwa bei ndogo kuliko sasa.
 
Mate habari zako tunazooooo πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»
 
Utanisamehe jana niliamua kusema ukweli baada ya kuona unataka kumuongopea Binti wa watu, sio poa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…