Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nami mwanajukwaa najulikana usinitenge au ni la wakongwe tu hili jukwaa??
Tutakufatilia 😀😀😀
IMG_9442.png
 
Country ni mbea tu lakini sio Muongo 😂

Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa 😅
Kantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala 😹😹

Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! 😹

Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
 
Ungekubali akukatie go and return, unaenda kuenjoy unarudi, K ataisikia kwa jirani yake! Ila vya bure vigumu bwana bora ulivyokataa…

Mate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
 
Mi muoga jamani kukutana na raia wa humu.
Namjua mkongwe lakini nahisi kina mafwele tu..!!

Hiyo kuzama pm tu njia iliyotumika nabaki kucheka..!! 😹

😹😹😹 Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
 
Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani 😂😂

Kama sio leo kesho inshallah tutafika🔥
 
Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani 😂😂
Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! 😹😹😹

Tatizo member wa humu hawatabiriki, I’d hii inaponda veggie kumbe afisa kipenyo anawachora tu..!! 😹
Kama sio leo kesho inshallah 🔥
Inshallah in Jesus name 🙏
 
Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! 😹😹😹

Tatizo member wa humu hawatabiriki, I’d hii inaponda veggie kumbe afisa kipenyo anawachora tu..!! 😹
Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke 😂 Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?
Inshallah in Jesus name 🙏
 
Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke 😂 Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?
Ipi hiyo? 😹
Kuna watu wapuuzi humu..!

Kuna babu miga na wenzie wana tabia ya kuomba mkutane kisha analeta risiti humu jukwaani… Hao ni hatari sana..!! 😹😹

Zamani ipi?
Kuna kina manengero na demiss mbona waliletwa hapa na wakongwe wenzao..!!
 
Back
Top Bottom