Yaani kama mzungu hongeraMnyaturu mamdogo π π Miss you, ulikuwa wapi?
Umetutelekeza kwenye maakuli.
Lengo lako niendelee kupika madudu nisipate mchumba πYaani kama mzungu hongera
Huko ninakuja sio mda simuyangu inachangamoto kidogo ya storage so nipate mpya kwanza nitarudiππ
Get ready, naandaa list kesho nakuja nayoπ ππΉπΉπΉ Wewe bana nifanyie jambo nililokwambia..!!
Suala la pesa hata huyo ninayemtaka anazo tena zile zenyewe kabisa π΅ sio za madafu..!!
Don't worry Hilo suala lako kesho tunalimaliza, list inakujaπ₯Hongera kwa kumpa tayana mtu sahihi bado mimi sasa..!! Shusha mkeka nichague..!
Ungejua nilipo muda huu Wala usingebisha hili nililosema, shauri yako ngoja nifungue filesπ πKwa kuwajaza watu uko vizuri πΉπΉ
Usitake kunigombanisha na mate wangu akajua kweli naweza kumpa connection kumbe mi mwenyewe APECHE ALOLO
Ikifikia hiyo siku nishtue, huyu tunammudu. Nna uhakika hawezi kukuzingua, wewe ni wa tofautiπ₯Hata asipokubali namngβangβania π
Naona anabisha bisha tu hajui nitashusha files zoteπ πCountry ni mbea tu lakini sio Muongo π
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa π
Guu la champagne π₯Tutakufatilia πππView attachment 3676023
Bado unaendelea kubisha? HayaKantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala πΉπΉ
Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! πΉ
Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
Acha uongo wewe sio wingaπΉπΉπΉ Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
Ngoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopeaMate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
Aaliyah wewe ni definition ya neno upole. Nikikuonaga tu neno upole huwa linajia kichwaniWewe sio mzungu kweli jamn
punguza vitu kwenye simuYaani kama mzungu hongera
Huko ninakuja sio mda simuyangu inachangamoto kidogo ya storage so nipate mpya kwanza nitarudiππ
Nimeogopa sana! AloooNgoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopea
Sio ana duka tu, bali ana maduka mawili makubwa ya jumla hapo kkoo.
Moja ni la handbags(hiyo mikoba na mapochi yenu hayo kina dada)
Duka la pili ni la high heels na wedges(viatu vyenu kina dada)
Kumbe tunaishi na watu wana magorofa humu ππ»ββοΈππ»ββοΈ Nyie nyieeeAna ghorofa, na ndio anapoishi. Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Pia ana mjengo(apartments) kibada - kigamboni. Hizi kajenga mwaka juzi 2024, mimi shahidi toka anaanza hadi anamaliza. Wote tulikua na ujenzi wakati huo
Hivi Nyie ni watu au freemason.Ana biashara pia ya pharmacy, hii pharmacy ni ya jumla na reja reja.
Siku ukienda kkoo kwenye maduka makubwa ya jumla ya hizo handbags na hizo high heels, ikatokea ukamkuta Kuna dada mweupe ana kamzigo nyuma alafu jina lake linaanzia na P linaishia A, basi jua ndio huyu lamomy anayezurura humu.
Haya niliyokueleza nipo tayari unishikishe biblia niape.
Asikuongopee huyo
Ni mpole sana, natamani kuwa kama yeye. Sema mimi nimechanganyikiwa πAaliyah wewe ni definition ya neno upole. Nikikuonaga tu neno upole huwa linajia kichwani
Nilikumiss
Humu anazurura sababu ana vijana wake pale dukani hata asipoenda mwezi mzima biashara inaenda kama kawaida. Hata akienda yeye busy na simu tu labda wawepo wale wateja wake wakubwa ambao wengi ni wacongoNimeogopa sana! Alooo
Yes ghorofa analo na ndio anapoishi yeye dada wa kazi, kijana mmoja, dogo mmoja hivi na kabinti flani hivi ka ndugu. Hawapo wengi sana.Kumbe tunaishi na watu wa magorofa humu ππ»ββοΈππ»ββοΈ Nyie nyieee
Ukiacha hizo za kibada kigamboni, pia Kuna sehemu panaitwa vikunai karibu na huko huko kibada napo ana mjengo japo sikuwahi kuuona Wala kujua kama kamaliza au bado.Now i rest my case ππ»
Hii ya pharmacy nilikua sijakueleza deep vizuri, biashara ilikua ya pharmacy ila baadae ilipokua vizuri sana alianzisha polyclinic hapo hapo, so hapo Kuna pharmacy na polyclinic pia hapo hapo na inafanya vizuri tu.Hivi Nyie ni watu au freemason
Aaliyah upole wake umezidi bana, mtaani watakua wanamuonea sanaπ πNi mpole sana, natamani kuwa kama yeye. Sema mimi nimechanganyikiwa π
Huu ni uongo wa mchana!β¦.
Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Nafuta vitu hadi nimechoka sasa yaani nzito hasa jamnpunguza vitu kwenye simu