spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,495
- 22,685
bado tupo pwani ya ziwa tunaanda nyavuUpo ziwani😎
KAZI njema,kapambane na chunusi😎bado tupo pwani ya ziwa tunaanda nyavu
Anko ulikuwa unavaa michano🔥,Na shangazi yenu miaka 9 nyumaa.View attachment 3675957
Hiyo ilikuwa imechanika kwenye harakati nikaishi nayo.Anko ulikuwa unavaa michano🔥,
Tuma moja ya kuchangamsha gengeKumbe kijiwe kimerudi
Kumbe utozi umeanza kitambo 😂😂😂View attachment 3675968
Umetoka mbali sana na hizi jeans chifu
😅View attachment 3675968
Umetoka mbali sana na hizi jeans chifu
Huwa anazinguaga wengine kuwashika mkono, ila kwako naamini atakubali🙏Aloooooh! Ntamwambia show me your ways master! Igweeee 🤣
Huyu dogo mfalme wetu mnamchukulia poa sana wakati pesa anayo.Mi hapana msubiri kuwadi wako akutafutie wa kukupa aiseee..!! 😹😹😹
Huyo dogo pesa anayo na anajua kuitumia. Tayana kapata mtu makini sanaHapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. 😹
Oyaah!😅
Leo nmepita bila chengaOyaah!😅
Liongo!Leo nmepita bila chenga
Kivipi tenaLiongo!
Hapo ndio ziwani?Kivipi tena
😹😹😹 Wewe bana nifanyie jambo nililokwambia..!!Huyu dogo mfalme wetu mnamchukulia poa sana wakati pesa anayo.
Siku mkimuona Tayana anasukuma pira jipya harrier anaconda msije kuanza maneno na wivu